Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

Napata wakati mgumu sana kuelewesha watu.sujui sababu wengi mnakalili au wafata mikumbo.
Hapo nilicho kitafuta nilipeleka sampuli ndogo ya jiwe kwenye mahabara ili kujua unacho kifanya.ulitaka niende na fuso ndio nijue ppm kubwa nacho kitafuta.
Hiyo ni ripoti ya sampuli ndogo iliyoizinisha,inayokuja ndio inakwenda kwenye mkusanyiko mkubwa ambao umekusanywa kikamilifu.
Mwanzo nilikuwa nahisi unajua kitu ila unakosea kidogo lakini sasa nimegundua hujui kitu kabisa unachoandika hakiendani na unachotaka kuaminisha watu humu..na haufahamu chochote kuhusu exploration wala minerals.
 
Ingependeza siku ukiona matokeo kwanza.Maana kukaa kimya kunaweza kupunguza ambacho ujui nilichokitoa.
Asante
 
Napata wakati mgumu sana kuelewesha watu.sujui sababu wengi mnakalili au wafata mikumbo.
Hapo nilicho kitafuta nilipeleka sampuli ndogo ya jiwe kwenye mahabara ili kujua unacho kifanya.ulitaka niende na fuso ndio nijue ppm kubwa nacho kitafuta.
Hiyo ni ripoti ya sampuli ndogo iliyoizinisha,inayokuja ndio inakwenda kwenye mkusanyiko mkubwa ambao umekusanywa kikamilifu.
Sujui = sijui, mnakalili = mnakariri, mahabara = maabara, iliyoizinisha = iliyoidhinisha... Kwanini matapeli wa Tanzania huwa mnashindwa kuandika kiswahili vizuri? Ni pigo kwa taifa kuwa na matapeli wasioweza kufanya kazi zao kwa weledi. Huwezi kufikia level ya kufanya ugunduzi wa madini hata neno MAABARA unaandika MAHABARA.
KIMSINGI WEWE NI TAPELI.
 
Kijana kamaliza chuo cha madini Dodoma tayari kashajikuta Snr Geo. Eti anaanza uzi na kichwa cha habari-Bahati kubwa! Ugunduzi wa madini yenye thamani kubwa eneo la hekari 20 na mgunduzi ni yeye! Vijana wanafanya mchezo sana hawa aisee.

Hako ka 0.07 Au angejua ni kwenye Cu huwaga vipo tu.

Sikia mdogo wangu. Kabla ugundue huo ugunduzi unaosema unaanza na hiyo soil sampling, trenching, uje drilling za mbali mbali mambo yakiwa mazuri u densify drilling na unajua bajeti ya diamond drilling mkuu? Uje ufanye geophysical dah kaka. Acha kuhadaa watu asee.

Unaongelea report haijatoka, hiyo report unaandika wewe mkuu? Unajua sifa zinazotakiwa mtu kuwa nazo kuandaa na kuisaini hiyo report? Umewahi sikia kitu kinaitwa 101?

Mdogo wangu wewe hujagundua chochote. Umeenda kwa artesinal miners ukachukua sample ukapeleka maabara. Hivyo tu yaani. Na majibu hayo hayatoshi kabisa kuhusisha ugunduzi mkuu.
Kuna uwezekano mkubwa huyu ni TAPELI au dogo aliyehitimu lakini ana mihemko ya kishuleshule.
 
Asante kwa kuniuliza. Ndio maana mwishoni nikasema ripoti kamili nitaleta.Bado changamoto za kuchukua sampuli kubwa ili kujua uwezo wa eneo.
ila mpaka sasa eneo ilo lijawa na rekodi wala historia kuwa na uchimbaji wala tafiti
Ulikuwa na haraka gani kuja huku kutamba kwa tafiti ambayo bado unafanya?
 
Sijakuelewa niwapige kwa lipi ?.
Kuna uhakika wa asilimia 100 kuwa umeharibu akili ya kwa kupiga punyeto muda mrefu. Madhara ya Nyeto ni kama haya. Kijana nakushauri acha punyeto na amka mapema asubuhi kisha kimbia na oga maji baridi. Jichanganye na watu na jifunze kitu kipya kila siku. Acha kushinda ndani siku nzima amka.
 
Back
Top Bottom