Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

Ningekuwa ni wewe ningefanya hivi: ningenunua eneo hili kwa gharama yoyote kabla ya kutangaza. Baadaye nakuja kutangaza baada ya eneo lote kuwa mali yangu nikiwa na hati ya eneo mkononi 🤣
 
Changamoto za fedha na ujanja wa matajiri ndio tatizo.ila nipo hatua ya kutengeneza mikataba ambayo itakuwa na msaada japo mtaji ni modogo kama watafiti wadogo.
 
Kabla ya kuanza kuchimba wanakuambia lazima waende kwanza kwa mtaalamu awachorew ramani.

Sasa mwingine akisikia "mtaalamu", anaweza akafikiri ni mtaalamu wa miamba kumbe ninmganganwa kienyeji.

Wengi wao huishia kutelekeza maduara yao pamoja na kuwa walipewa ramani na "wataalam" wao.
ususani kanda ya ziwa ushirika umewekwa mbele sana
 
Wamehamia huku hawa jamaa. Kama kuna mzigo mzito kama huo unawezaje kumwambia hata nkeo. Leo unakuja humu eti kwa atakayehitaji akutafute!! Mleta mada na Dr shika Woooote mantanyange ( alisema jk nyerere)
Nafikiri hujamwelewa mtoa mada! Hajasema atafutwe, bali ataeleza zaidi akihitajika kufanya hivyo.

Bandiko lake siyoi ripoti kamili. Ni kama utangulizi tu wa alichokitafiti. Na, kwa kuwa ni utafiri wake, atakuwa na haki ya kuuweka humu au la kwa kuzingatia malengo ya utafiti wenyewe.

Kugundua uwepo wa madini ni jambo moja, na kuyachimba ni jingine. Ardhi inaweza ikawa na utajiri mkubwa wa dhahabu na bado yasichimbwe kama hakuna mtaji wa kutosha.

Mtoa mada hajasema anataka mtu wa kuingia naye ubia, lakini hatakosea endapo atafanya hivyo.

Kuogopa kufuatilia usahihi wa kilichotafitiwa ni uoga usio na tija.

Kama utaona unataka kuwekeza humo, tafuta wataalam wako wa miamba, sheria na uchumi wakuridhishe kama mradi huo utakufaa au la.

Usiogope kujaribu mambo mapya. Kamwe huwezi kujua kilichopo ndani ya chumba ambacho hujaingia.
 
Mkuu nimekuuliza hukunijibu "hiyo Cu 4.25 ppm hii ni sawa na Cu.purity asilimia ngapi??."apo ulipofanya tafiti wewe ni PL au PML??.una geological report survey ya huo utafiti wako??.
 
Siwezi kukupa jibu kamili nilipeleka sample ndogo sana ambayo nikikupa jibu nitakuwa nimekudanganya.Subiri sample kubwa ambayo imechukiliwa sehemu kubwa ili kujua kilichopo kwenye unachokitaka
 
Wamehamia huku hawa jamaa. Kama kuna mzigo mzito kama huo unawezaje kumwambia hata nkeo. Leo unakuja humu eti kwa atakayehitaji akutafute!! Mleta mada na Dr shika Woooote mantanyange ( alisema jk nyerere)
Nafikiri hujamwelewa mtoa mada! Hajasema atafutwe, bali ataeleza zaidi akihitajika kufanya hivyo.

Bandiko lake siyoi ripoti kamili. Ni kama utangulizi tu wa alichokitafiti. Na, kwa kuwa ni utafiri wake, atakuwa na haki ya kuuweka humu au la kwa kuzingatia malengo ya utafiti wenyewe.

Kugundua uwepo wa madini ni jambo moja, na kuyachimba ni jingine. Ardhi inaweza ikawa na utajiri mkubwa wa dhahabu na bado yasichimbwe kama hakuna mtaji wa kutosha.

Mtoa mada hajasema anataka mtu wa kuingia naye ubia, lakini hatakosea endapo atafanya hivyo.

Kuogopa kufuatilia usahihi wa kilichotafitiwa ni uoga usio na tija.

Kama utaona unataka kuwekeza humo, tafuta wataalam wako wa miamba, sheria na uchumi wakuridhishe kama mradi huo utakufaa au la.

Usiogope kujaribu mambo mapya. Kamwe huwezi kujua kilichopo ndani ya chumba ambacho hujaingia.
 
Sorry kaka,Cu 4.25 ppm hii ni sawa na Cu.purity asilimia ngapi??.
Nadhani inamaana Copper ipo kwa kiwango cha chembechembe 4.25 kwa Kila chembechembe milioni moja. Yaani parts 4.25 per million (ppm)
 
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha dhahabu, likiashiria fursa kubwa ya uchimbaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Juhudi zangu zimefanyika kwa kuzingatia uchambuzi wa jiolojia na ukusanyaji wa sampuli, na natumai kuwa ugunduzi huu utakuwa baraka kwa jamii yetu na neema kwa siku zijazo."

Hii ni moja ya jiwe dogo kwenye sample kabla ya kusaga lilokwenda mahabara na kutoa majibu

View attachment 2988712

RIport ya vipimo toka kwenye sample ya picha hapo juu kwenye jiwe ilo
View attachment 2988714

Kama wadau au wakezaji wataitaji kujua zaidi nitazidi kueleza maana naanda ripoti kamili.

Asanteni
Wajinga wapo wengi watakuja uwapige vizuri
 
Siwezi kukupa jibu kamili nilipeleka sample ndogo sana ambayo nikikupa jibu nitakuwa nimekudanganya.Subiri sample kubwa ambayo imechukiliwa sehemu kubwa ili kujua kilichopo kwenye unachokitaka
Umenielewa nilivyokuuliza apo lakini??.una uzoefu na kazi au ndo unajifunza,unawezaje kusema umegundua dhahabu sample ipo mahabara na geological report survey hauna??. nimekuuliza hilo eneo ulilofanya tafiti ni hyo licence ni ya PL au PML??.nimeona juu apo juu unasema unataka kuandaa mikataba ya wachimbaji wadogo??.heka 20 hiyo licence yako aina gani??.
 
Asante kwa kueleza.ila Kumbuka swala la madini tena dhahabu kama utakuwa mzoefu ni sehemu moja usipokuwa makini unaweza kuja kuishia hapa ndio nilifanyaga.
Uwazi wa kusema kila nachofanya kitajulikana pale matokeo nikileta kamili ila sio kwa sasa
 
Kuna huyu
Sasa mdogo wangu kweli unapeleka sample ya jiwe moja unaona Kuna gold 0.07 unaanzisha uzi kwamba umegundua eneo lenye madini ya thamani kubwa!

Kwanini mnatumia vitaaluma vyenu kuhadaa watu? Ni kwa faida ya nini au ya Nani?

Kumaliza geology course udom haimaanishi umeshakuwa mgunduzi we jamaa. Unaelewa maana ya ugunduzi? Tena wa eneo? Sasa unakiri kuwa na changamoto ya kukusanya sample na kupeleka maabara alafu unajiita mgunduzi?

Umewahi kusikia maana ya mining exploration? Unajua bajeti zake we jamaa?

Acha kujiweka usipostahili kwa sababu tu watu hawaelewi unachoandika
Alafu kuna huyu.

Nyinyi wawili pamoja na mleta mada kuna kitu mnajua. Kwenye madini sijui ila neno "nimegundua" hasa kwenye natural resources sio la mchezomchezo. Naendelea kuwasoma
 
Asante kwa kueleza.ila Kumbuka swala la madini tena dhahabu kama utakuwa mzoefu ni sehemu moja usipokuwa makini unaweza kuja kuishia hapa ndio nilifanyaga.
Uwazi wa kusema kila nachofanya kitajulikana pale matokeo nikileta kamili ila sio kwa sasa
Kiongozi gold(Au)0.07ppm na Copper(cu) 4.75ppm..ulichogundua wewe ni copper,for your information ndani ya Copper ore huwa ndani yake kuna dhahabu ndogo saana na silver kidogo saana.....PL ni huwa licence wanayopewa wachimbaji wakubwa na utafiti wake hua unachukua muda mrefu ata miaka kadhaa inaweza fika,PML ni license zinatolewa wachimbaji wadogo..wew umechimba sample sehemu ukapeleka hakuna ulichogundua,kujua reserve lazima ufanye drilling,kitu ambacho ni very expensive unaweza poteza ata million 100 TZS na ukaambiwa hapo achana napo..kwa uhandishi wako na uelewa wako huu,huwezi fanya hiko kitu wew...
Samahani kama nimetumia harsh language
 
Kijana kamaliza chuo cha madini Dodoma tayari kashajikuta Snr Geo. Eti anaanza uzi na kichwa cha habari-Bahati kubwa! Ugunduzi wa madini yenye thamani kubwa eneo la hekari 20 na mgunduzi ni yeye! Vijana wanafanya mchezo sana hawa aisee.

Hako ka 0.07 Au angejua ni kwenye Cu huwaga vipo tu.

Sikia mdogo wangu. Kabla ugundue huo ugunduzi unaosema unaanza na hiyo soil sampling, trenching, uje drilling za mbali mbali mambo yakiwa mazuri u densify drilling na unajua bajeti ya diamond drilling mkuu? Uje ufanye geophysical dah kaka. Acha kuhadaa watu asee.

Unaongelea report haijatoka, hiyo report unaandika wewe mkuu? Unajua sifa zinazotakiwa mtu kuwa nazo kuandaa na kuisaini hiyo report? Umewahi sikia kitu kinaitwa 101?

Mdogo wangu wewe hujagundua chochote. Umeenda kwa artesinal miners ukachukua sample ukapeleka maabara. Hivyo tu yaani. Na majibu hayo hayatoshi kabisa kuhusisha ugunduzi mkuu.
 
Napata wakati mgumu sana kuelewesha watu.sujui sababu wengi mnakalili au wafata mikumbo.
Hapo nilicho kitafuta nilipeleka sampuli ndogo ya jiwe kwenye mahabara ili kujua unacho kifanya.ulitaka niende na fuso ndio nijue ppm kubwa nacho kitafuta.
Hiyo ni ripoti ya sampuli ndogo iliyoizinisha,inayokuja ndio inakwenda kwenye mkusanyiko mkubwa ambao umekusanywa kikamilifu.
 
Tum
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha dhahabu, likiashiria fursa kubwa ya uchimbaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi yetu. Juhudi zangu zimefanyika kwa kuzingatia uchambuzi wa jiolojia na ukusanyaji wa sampuli, na natumai kuwa ugunduzi huu utakuwa baraka kwa jamii yetu na neema kwa siku zijazo."

Hii ni moja ya jiwe dogo kwenye sample kabla ya kusaga lilokwenda mahabara na kutoa majibu

View attachment 2988712

RIport ya vipimo toka kwenye sample ya picha hapo juu kwenye jiwe ilo
View attachment 2988714

Kama wadau au wakezaji wataitaji kujua zaidi nitazidi kueleza maana naanda ripoti kamili.

Asanteni
Tumeona namba zako, tutakutafuta
 
Kijana kamaliza chuo cha madini Dodoma tayari kashajikuta Snr Geo. Eti anaanza uzi na kichwa cha habari-Bahati kubwa! Ugunduzi wa madini yenye thamani kubwa eneo la hekari 20 na mgunduzi ni yeye! Vijana wanafanya mchezo sana hawa aisee.

Hako ka 0.07 Au angejua ni kwenye Cu huwaga vipo tu.

Sikia mdogo wangu. Kabla ugundue huo ugunduzi unaosema unaanza na hiyo soil sampling, trenching, uje drilling za mbali mbali mambo yakiwa mazuri u densify drilling na unajua bajeti ya diamond drilling mkuu? Uje ufanye geophysical dah kaka. Acha kuhadaa watu asee.

Unaongelea report haijatoka, hiyo report unaandika wewe mkuu? Unajua sifa zinazotakiwa mtu kuwa nazo kuandaa na kuisaini hiyo report? Umewahi sikia kitu kinaitwa 101?

Mdogo wangu wewe hujagundua chochote. Umeenda kwa artesinal miners ukachukua sample ukapeleka maabara. Hivyo tu yaani. Na majibu hayo hayatoshi kabisa kuhusisha ugunduzi mkuu.
Bahati nzuri umepata maelekezo ya ID yangu sio fake. swala la chuo nilishasau 2009. labda umetaka kuonesha hisia zako unakaribishwa
 
Back
Top Bottom