Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

Mwanzo nilikuwa nahisi unajua kitu ila unakosea kidogo lakini sasa nimegundua hujui kitu kabisa unachoandika hakiendani na unachotaka kuaminisha watu humu..na haufahamu chochote kuhusu exploration wala minerals.
 
Mwanzo nilikuwa nahisi unajua kitu ila unakosea kidogo lakini sasa nimegundua hujui kitu kabisa unachoandika hakiendani na unachotaka kuaminisha watu humu..na haufahamu chochote kuhusu exploration wala minerals.
Ingependeza siku ukiona matokeo kwanza.Maana kukaa kimya kunaweza kupunguza ambacho ujui nilichokitoa.
Asante
 
Sujui = sijui, mnakalili = mnakariri, mahabara = maabara, iliyoizinisha = iliyoidhinisha... Kwanini matapeli wa Tanzania huwa mnashindwa kuandika kiswahili vizuri? Ni pigo kwa taifa kuwa na matapeli wasioweza kufanya kazi zao kwa weledi. Huwezi kufikia level ya kufanya ugunduzi wa madini hata neno MAABARA unaandika MAHABARA.
KIMSINGI WEWE NI TAPELI.
 
Kuna uwezekano mkubwa huyu ni TAPELI au dogo aliyehitimu lakini ana mihemko ya kishuleshule.
 
Asante kwa kuniuliza. Ndio maana mwishoni nikasema ripoti kamili nitaleta.Bado changamoto za kuchukua sampuli kubwa ili kujua uwezo wa eneo.
ila mpaka sasa eneo ilo lijawa na rekodi wala historia kuwa na uchimbaji wala tafiti
Ulikuwa na haraka gani kuja huku kutamba kwa tafiti ambayo bado unafanya?
 
Sijakuelewa niwapige kwa lipi ?.
Kuna uhakika wa asilimia 100 kuwa umeharibu akili ya kwa kupiga punyeto muda mrefu. Madhara ya Nyeto ni kama haya. Kijana nakushauri acha punyeto na amka mapema asubuhi kisha kimbia na oga maji baridi. Jichanganye na watu na jifunze kitu kipya kila siku. Acha kushinda ndani siku nzima amka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…