Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Nilitaka niandike kama ulivyoandika mkuu. Hawajui mtu unaweza kukaa Dar miaka hata 10 kuna kona hujawahi hata kufika.
 
hapana,
sintaweza na haiwezekani gentleman,

siwezi kuacha majukumu muhimu sana na mazito ya kuwatumikia wananchi na kwenda kustarehe kwa gharama zao. Nadhani ni dhambi isiyo na msamaha hata kwa Mungu
 
sina maoni
Longtime nkmbk nlikuwa kwenye bar moja obay Q-BAR sasa hapo alitinga wazir
Mmoja flower daftari enzi hizo,kavamia anasema hapo kuna makelele na kuna mambo yanafanyika ndy svyo,kuingia tu na mapolisi defender + hizo sura alizokuta ndani πŸ˜„ mpk waheshimiwa nao walikuwepo,mbn aliondk mdg mdg πŸ˜„
Au gentleman we huwa unajifungiaga ndani huzuruli

Ova
 
Sasa hio code ya jina mbona iko wazi? Mama wa kona hapo Bongoyo afadhali ungesema waziri tu
 
Gentleman ni huyu bwana guys guys, anaefuga ndevu afanane na mzee Nyerere.

Hawezi kutoka kizembe bila ulinzi, yeye uwanja wake ni jf kuja kusoma upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…