Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

The presda wa GSM anasema yeye huthubutu kuwekeza sehemu watu wanaziogopa na anafanya vizuri,jiulize kwanini ana hiyo tabia huko ndiyo kwenye fursa,sasa ukiwaza kufanikiwa kwako kibiashara ni mpaka watu wengi wafanye hiyo biashara unapotea usiogope na hasara zipo biashara zote duniani unazozijua,lakini pia usisahau ushirikina upo unapofanya biashara ufanikiwe sio kila mtu atapenda mtangulizeni Mungu muacha kutapanya mali kwa usherati
 
Hivi kwanini bajaji ni 10m?
Soko, zinanunuliwa mnooo, hivyo watu wamezipandisha bei, hata haya mapikipiki ya kichina na kihindi sio ya kununuliwa milioni 3.
Ukienda huko china unazipata kwa bei chee, kodi na faida za watu ndio hapo unakuta mzigo umepanda bei.
 
Kabisa mkuu, Mwishowe yatakuwa hayarudishi mtaji kabla hayajaanza matengenezo makubwa.
 
Back
Top Bottom