Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

Astaghafilu-Allah.
Baada ya Kumpa pole mwenzio.
Hili ni Jambo La Kawaida Sana.
Katika Maisha.
Hivyo Kusema Kazi Ya Mwenzio ni Ukichaa Sio Kauli Njema. Kati yetu Hamna mkamilifu.
Tukilejea Nyuma Kidogo.
Kipindi Cha Kaum Ayubu (A.S).
Mitihani Alioipitia Katika Maisha.
Mali Alizokuwa Nazo. Lakini vyote viliangamia.
Katika Kipimo Cha Imani Juu yake.
Hivyo Tunapopata Hitilafu Tuwe Na Huruma.
Zidi ya Ndugu Zetu. Tusiwe Na Husda
 
Ni risk tu za biashara kama biashara nyingine, unanunua Lori au bus 100mil plus, safari ya Kwanza linapiga mzinga.

Kwa wale wenye kuamini, unapoanza kufanya biashara yeyote mshirikishe Mwenyezi Mungu kwanza.
 
Poleni ni changamoto katika utafutaji,marehemu apumzike kwa amani
 
Hizo milioni kumi angenunua viwanja na kujenga fremu za kupangisha zisingepotea kizembe hivyo
Tatizo vijumba Hela zake za pole pole sana Tena usipotarajia ndio vinakuja!!

Na vijana wanataka utajiri wa faster faster ni ngumu sana mjue!!
Mi vyombo vya moto labda cha kutembelea sio biashara!!

Nitaendelea kununua viwanja na kujenga pole pole kimtindo!!
 
Milioni kumi unanunua viwanja kirahirahisi vya kujenga fremu wapi Dar?
Mikoani mkuu!!unaweza PATA Cha million mbili na kujenga nne za Kwa million nane na wewe ukawa wa kwanza kufanyia biashara ukiwaita wengine!!!shop mchanganyiko,shop bidhaa vyakula,shop sallooon,shop charging sim na Taa!!zipo nyingi kama una muda tu!!
 
Back
Top Bottom