Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

Ndio maan watu hujenga maan biashara kibongo bongo nomaa .alie na bima
 
Ajal
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Ukiogopa kufanya biashara kwasababu ya mambo kama haya basi wewe jitoe kwenye filed ya biashara, wewe sio mfanyabishara ukiwa unaogopa risk, hakuna isiyo na hasara unafirki huwa wanapata tu ni lazima upoteze ili upate
 
Comment yako inadhihirisha tangu uzaliwe hujawahi hata kujenga banda la kuku, hujui hata bei ya msumari ndo maana umepata ujasiri wa kuandika comment inayochekesha huku ukijua umetoa ushauri babkubwa.
si ucheke sasa? Ulitaka hiyo milioni kumi itoshe kujenga kasri?
 
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu sababu imepungua vibaya sana milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Ujinga kwamba hakuna bima ....haku kataa bima...
 
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu sababu imepungua vibaya sana milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Duuh inasikitisha,ila ndio maisha mkuu!
 
Jamaa hata banda la kuku hajawahi kujenga ndo maana katoa huo ushauri, hapo mawazo yake anahisi million 3 inaweza kujenga vyumba hata vitatu
mnashauriana porojo tu. Mlitaka hiyo milioni itoshe kujenga hekalu?
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa Insurance... (Ingawa hata hao kuja kulipwa ni kimbembe)
  • Protect yourself with insurance. You cannot afford to be unprotected.
 
Back
Top Bottom