Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital haamini kilichotokea kweli Kuna biashara sio za kufanya
Kaka inaelekea unachukia sana biashara ya usafirishaji kwa kutumia boda na bajaji maana ulishaanzisha uzi humu kuzikandia hizi biashara.. naona hayo majanga yamekupa point 3 kabisa
 
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital haamini kilichotokea kweli Kuna biashara sio za kufanya
Kila biashara on risks zake na siyo bajaji tu.mbona mabasi,malori, magari madogo,yanadondoka kila leo hivyo utasema ni biashara kichaa?hata nyumba unaweza kujenga leo kesho inapata ajali ya moto hivyo kila biashara on hasara zake.
 
Ili uwe mfanysbiashara lazima ujue namna ya kumshinda shetani

Sababu shetani hayupo mbali yupo kichwani

Yupo pamoja na Mungu wanapigana vita

Ili uweze kumshinda inabidi uujue huu ukweli

Kama hauujui huu ukweli usifanye biashara

Kaa mtaani uwe kama watu wengine
 
Hivi kwanini bajaji ni 10m?
Ni kwa sababu watu wanazioverate sana wakati kihalali ilitakiwa iuzwe milioni 3 tu.
Ni sawasawa na Toyota IST kuuzwa milioni 16 wakati kiuhalisia haikutakiwa izidi milioni 8 bei yake.
Wachina na Wahindi wanatupiga hela nyingi kutokana na ulimbukeni wetu wa kufakamia vitu kwa kuigana.
 
ukishasema ajali tayari umejinyima point. ajali ni ajali tu..kariakoo mtaa wa aggrey kuna duka la home appliances liliungua kila kitu yakabaki mabati tu! sijui ana hali gani kama alikuwa hana back up.
 
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital haamini kilichotokea kweli Kuna biashara sio za kufanya
Sio biashara kichaa,chochote unachoona mtu kafanya kikafanikiwa huwa ana take risk tu,iwe ni Hoteli,Duka,Tax,Boda,Bajaj n.k.hizo ni risks katika biashara na ukiziogopa hutakaa ufanikiwe kwenye maisha yako...
 
Kila biashara on risks zake na siyo bajaji tu.mbona mabasi,malori, magari madogo,yanadondoka kila leo hivyo utasema ni biashara kichaa?hata nyumba unaweza kujenga leo kesho inapata ajali ya moto hivyo kila biashara on hasara zake.
wenye mabasi ni wajanja sana likipinduka moja baada ya mwezi anapewa lingine na bima.
Mahesabu yao ni makali sana usilinganishe na mmiliki wa bajaji au bodaboda.
 
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya

Bajaj siyo biashara kichaa. Ajali ndo biashara kichaa.
Kuna mamilioni ya Bajaj duniani zinafanyakazi na hakuna aliyewehuka.
 
Back
Top Bottom