uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Ogopa kitu kinaitwa stress na kupoteza tumaini hasa biashara ikianguka ghaflaasije shika kisu tušš¤
Ogopa kitu kinaitwa stress na kupoteza tumaini hasa biashara ikianguka ghaflaasije shika kisu tušš¤
Aibu tupu.Ni kwa sababu watu wanazioverate sana wakati kihalali ilitakiwa iuzwe milioni 3 tu.
Ni sawasawa na Toyota IST kuuzwa milioni 16 wakati kiuhalisia haikutakiwa izidi milioni 8 bei yake.
Wachina na Wahindi wanatupiga hela nyingi kutokana na ulimbukeni wetu wa kufakamia vitu kwa kuigana.
Hii sio justification kuwa āBajaji ni biashara kichaaāā¦Ni mojawapo ya Risk ya biashara , kwa kiswahili tunasema ajali kaziniā¦Ni kama itokee mwanafunzi wa Udaktari anafariki akiwa Internship wakat wazazi wake wameinvest for 5 yrs⦠Ni sawa na Kupanda shamba then mvua na mafuriko yakaja kuharibu mazao yoteā¦Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
shida sio wahindi au wachina, shida ni makodi yenu ya bandarini.Ni kwa sababu watu wanazioverate sana wakati kihalali ilitakiwa iuzwe milioni 3 tu.
Ni sawasawa na Toyota IST kuuzwa milioni 16 wakati kiuhalisia haikutakiwa izidi milioni 8 bei yake.
Wachina na Wahindi wanatupiga hela nyingi kutokana na ulimbukeni wetu wa kufakamia vitu kwa kuigana.
Msaada kama una picha yake tafadharišæAisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Waweza kuwa na stock kariakoo na jumba likaporomoka vilevile,Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
AiseeNilimpa Tvs kijana apige boda mwezi mmoja tu agonga mbibi wote wakafata palepale polis wakaokota skrepa wakapeleka kituoni.
Hii biashara ngumu mno.
Sasa inakuaje biashara kichaa? Kwani ukisema ni wewe Kuna shida?Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Haikuwa na bima?Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Mbona Titanic ilizama kwenye safari yake ya kwanza na bado meli zipo.Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
BiasharaHivi kwanini bajaji ni 10m?
Huenda bei halisi ya bajaj ni 2.5 ila wahuni kati ndiyo wanapandisha beiEngine ya bajaj ni milioni 3,engine ya crown 4gr milioni 2.5,huu ni uwendawazimu
Pole sanaNaona umefurahi sana , nyie ndo wale wazee wa majungu mnaokaa vijiweni, baadae stori ni "mi nilijua hawezi kutoboa"
Mbona wakati zinaanza mwanzoni bei ilikuwa haifiki hata milioni 4 ina maana hizo kodi zimeongezeka miaka hii ya karibuni?shida sio wahindi au wachina, shida ni makodi yenu ya bandarini.
Namjua jamaa ni importer wa hizo boda na bajaji, ana sema ma Vibali ndio Yana ongeza bei
Ooh,,wacha weee! Fremu ngapi angejenga ..Hizo milioni kumi angenunua viwanja na kujenga fremu za kupangisha zisingepotea kizembe hivyo