Wewe umewaiga ?Inafikia hatua mtu unachoka na haya malalamiko mitandaoni. Mnashindwa nini kuwaiga USA?
Mkuu unaelewa lakini maana ya kufanya kazi za ziada na mkataba wako wa ajira?Unaoneka wewe si mfatiliaji mzuri wa mambo.
Hujasikia juzi Wakufunzi wa Chuo kimoja wamekamatwa kwa kuhujumu uchumi, wakati kosa ni kufanya kazi chuo zaidi ya kimoja ili kukuza vipato vyao.
Yani Madaktari wasiwe na dispensaries zao, fundi umeme usifanye part time, na IT usiguse kazi ya mtu..
Alafu unaleta story za kipato cha ziada .
Nyie ndo wale Leo niko masikini huulizi nimepataje umasikini, lakini kesho nikiamka tajiri unakuja kunikamata na kuhoji nimetoa pesa wapi.
Yes........sisi tunataka kila mwaka iongezwe 100,000 wakati mtaani nako vitu vinapanda kwa wastan wa 100000 tena.....faida iko wapi?Mkapa hakuongeza mshahara lakini maisha ya wafanyakazi yalikuwaje, dawa si kuongeza mshahara bali ni kudhibiti mfumko wa bei leo hii mshahara ukiongezwa kila kitu kitapanda bei kuanzia daladala, kodi ya nyumba , chakula na vinginevyo inachotakiwa kufanya serikali ni kupunguza mfumko wa bei
Hongera. Mnaolipwa laki 2 mmenufaika sana. Mazombie hata yakijambiwa yanaomba yaharishiwe....Hilo punguzo la kodi kwa wafanyakazi, toka mshahara wa shilingi 170,000 hadi 270,00 hujalisikia?
Mimi niko pamoja na weweNiko pamoja nao sitaki unafiki.
Blaza... ushaambiwa AtakeAsitake....Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Natumai una akili nzuri tu,Ila hautaki kuzitumia...Mkapa hakuongeza mshahara lakini maisha ya wafanyakazi yalikuwaje, dawa si kuongeza mshahara bali ni kudhibiti mfumko wa bei leo hii mshahara ukiongezwa kila kitu kitapanda bei kuanzia daladala, kodi ya nyumba , chakula na vinginevyo inachotakiwa kufanya serikali ni kupunguza mfumko wa bei
Nyie mbona hamjamwelewa Pascal? Hapo anawaambia unachukua unaweka kwa Magu, unafikri anakuambia uchague upinzani? Kaa hivyo hivyo! Mwenzenu anafagilia uteyuzi!Kwa tume ipi ya uchaguzi?
Buku 7 kwa siku ndiyo kazi mbadala inayokufanya usitake nyongeza ya mshahara?Fanyeni kazi mbadala muache kulilia nyongeza,Mimi kamshahara kangu ni kadogo sana,nikikata kila mtu atacheka but sitakaa niililie government yetu iti kwanini hakuna nyongeza
Mishahara hata kwa wafanyakazi wa nchi za ulimwengu wa kwanza haijawahi kutoshereza ije kuwa Tanzania?
Piga kazi mbadala na hiyo uliyoajiliwa nayo.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
Mishahara ya nini kama mfumuko wa bei imeshuka na umekua stable? Nyongeza ya mshahara ina faida gani kwenye mazingira ya mfumuko wa bei?
Sasa ni matako yako hayo? Yaani nyie ndio mnatufanya wapinzani tuonekane manyumbu! Maanake mtu aliyekuwa anapata 2.24m hatakatwa kodi, kodi inaanza kwa mtu anayepata 3.24m kwa mwaka.Kwa akili yako ni punguzo la kodi ipi?
Tangu unyimwe ulaji na Serikali umekuwa na stress sana... Umekuwa na maisha magumu na kiofisi chako Cha chumba kimoja hapo kwenye la Africasana Kama mama ntilie.Mtu hataishi kwa mkate tuu, hivyo pamoja na kutoongezwa mishahara, lakini msiwe na hasira bali hapo tarehe 25 October,
unachukua...,
unaweka ...
Waaah...
P
kweliUnaoneka wewe si mfatiliaji mzuri wa mambo.
Hujasikia juzi Wakufunzi wa Chuo kimoja wamekamatwa kwa kuhujumu uchumi, wakati kosa ni kufanya kazi chuo zaidi ya kimoja ili kukuza vipato vyao.
Yani Madaktari wasiwe na dispensaries zao, fundi umeme usifanye part time, na IT usiguse kazi ya mtu..
Alafu unaleta story za kipato cha ziada .
Nyie ndo wale Leo niko masikini huulizi nimepataje umasikini, lakini kesho nikiamka tajiri unakuja kunikamata na kuhoji nimetoa pesa wapi.
Tatizo ni nini haswa!!
Mkapa hakuongeza mshahara lakini maisha ya wafanyakazi yalikuwaje, dawa si kuongeza mshahara bali ni kudhibiti mfumko wa bei leo hii mshahara ukiongezwa kila kitu kitapanda bei kuanzia daladala, kodi ya nyumba , chakula na vinginevyo inachotakiwa kufanya serikali ni kupunguza mfumko wa bei