Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Tunachangia kwa njia ya nauli piaMbona sisi hatuna magari lakini petroli ya kupulizia mikorosho huku newala tunalipia kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachangia kwa njia ya nauli piaMbona sisi hatuna magari lakini petroli ya kupulizia mikorosho huku newala tunalipia kodi
bavicha na ufipa wanasema hawa walituchelewesha sana.Kwani hao walikuwa na tija gani kwenye bajeti?
Posho haziwwzi ondolewa kamwe labda kupunguzwa.Tuondoe posho zote tunazowalipia viongozi wanunue umeme chakula vinywaji nguo zao na usafiri wajitegemee wawaondolee wananchi mzigo wa kuwatunza na kuwajengea mahekalu. Waishi maisha ya mfanyakazi ambaye anategemea mshahara wake, wanapoomba wanasema wanataka kututumikia wakipata sisi ndio tunawatumikia!!!!
Mkuu,Hio ni kodi ya kichwa.Relax uendelee kuilipaVipi kuhusu wale wanaoishi nyumba za serikali kama polisi, wanajeshi, Marc, Ras, mawaziri na makatibu wakuu wa wizara watakuwa wanalipia Kodi ya nyumba za serikali kupitia luku? Au Sheria hiyo imewabaguaje? Je, mashule, hospitali na ofisi za umma zinazonunua umeme wa luku nao watachangia Kodi za majengo ya umma wanunuapo luku?
Aliyelielewa hili anifafanulie tafadhali kwani sijabahatika kuisikia hotuba!
Amiin... siku zote mlipa kodi ni mlaji wa mwisho! Mwenye nyumba mzigo wa kodi mwisho wa siku ataushusha kwa wapangaji tu! Kwangu, hili la kulipia kodi ya pango kupitia Luku angalau lina ubunifu badala ya kuweka "task force" zikimbizane na wenye nyumba vichochoroni angalau automatically watu watalipa kodi za majengo.
Naafikiana naye sana and amefanya akili hapa. Itabidi mwenye nyumba apunguze kodi kufidia hiloKitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Kweli bora ukose mali upate akilibavicha na ufipa wanasema hawa walituchelewesha sana.
Hivi kwa akili yako ukijenga nyumba na kupanga nyumba nani mmiliki hapo?Kwa minajili ya Serikali kukusanya mapato basi utaratibu mpya utakua bora zaidi kuliko Sasa. Kama swala ni nani alipe kodi kati ya mpangaji na mwenye nyumba basi urahisi ni kua tu siku mpangaji akilipa kodi ya pango kwa mwenyenyumba akate hela yake ya Luku.
Alternatively Mwenye Nyumba anaweza kununua luku ya hiyo 12,000/- ikawa ndio kodi yake ya ardhi/kiwwnja amelipa hapo Kisha kipindi kinachofuata watalipia wapangaji wenyewe.
Ilivyo sasa nyumba nyingi hazilipi hii kodi, hivyo kupitia luku basi nyingi zitalipa
Kama umeliona hilo, c uweke utaratibu wako Wa kuwarushia hiyo pesa watakayokua wanalipa kwenye jengo lako,nina nyumba 5 , 2 Kyela , 3 Dsm , kati ya hizo 1 ya Kyela na 1 ya Tandika naishi mwenyewe , sasa hizi 3 kwanini wapangaji wangu wakatwe kodi ya jengo ?
Hawa jamaa ni wezi hata ufanyeje mtu kama anaweza kuiba kura mchana kweupe atashindwa kuiba kodi?Tuondoe posho zote tunazowalipia viongozi wanunue umeme chakula vinywaji nguo zao na usafiri wajitegemee wawaondolee wananchi mzigo wa kuwatunza na kuwajengea mahekalu. Waishi maisha ya mfanyakazi ambaye anategemea mshahara wake, wanapoomba wanasema wanataka kututumikia wakipata sisi ndio tunawatumikia!!!!
kosa nguvu za kiume uone.Kweli bora ukose mali upete akili
Nani kakwambia analalamika. acha watu wawe wazi kutoa mawazo yao tofauti ili kufanyike maboresho mazuri zaidi.na ndo maana hata baheti yenyewe inajadiliwaga bungeni ili kama kuna maboresho yafanyike.Kama umeliona hilo, c uweke utaratibu wako Wa kuwarushia hiyo pesa watakayokua wanalipa kwenye jengo lako,
Tena ni rahisi tu , kila mwaka unakua unawanunulia wapangaji wako umeme Wa elfu kumi tu unakua umemaliza ,
Tusipende kulalamika kila kitu, Nchi ni yetu sote na tutakaoijeanga ni sisi wenyewe hakuna mwingine
Simple weka hio amount kwenye link nlioambatanisha utapata majibu yako.Tzs 9/-??
Au ulimaanisha 9%??
Hao watakuwa wamesamehewa hiyo kodi.Vipi kwa wale wanaoishi nyumba ambazo hazina umeme
Hayo ni maelezo yako , mbona road license ilihamishiwa kwenye mafuta na maisha yanaenda tena hakuna usumbufu wowote hakuna mambo ya kusumbuana tena, hata hii imekaa poa hakuna tena mambo ya kusumbuana na wenye Nyumba Kama ilivyokua zamaniHiyo siyo kodi ya majengo bali ni kodi ya mita za umeme kwa jina la kodi ya majengo.
Acha ujinga wewe.kodi ya majengo anatakiwa kulipa mmiliki wa jengo nasio vinginevyo.Kama ambavyo wamiliki wa magari ya abiria walivyokua wanalipa kodi ya magari yao nasio abiria ndivyo hivyo hivyo kwenye majengo inavyotakiwa kua.Ata mshahara wewe mmiliki wa mshahara ndiye unayelipa kodi nasio watumiaji wa mshahara wako.Ata kwenye biashara wewe mfanya biashara ndiye unayetakiwa utoe sehemu ya mapato yako kulipa kodi nasio wateja wako.Kwa hicho ulichokiandika hapo kama kodi ya jengo anatakiwa kulipa mpangaji je huyu mmiliki wa jengo yeye atakua kalipa kodi wapi?.Hii kodi imewekwa kisanii kwanza kwa serikali kurahisisha ukusanyaji wa fedha toka kwa watu lakini pia serikali kuongeza uwanja mpana wakukusanya sent ndogo ndogo toka kwa kila mita ya umeme au kwa kila mtu katika vitu ambavyo watu wanamatumizi navyo kila siku lakini hii ya luku kamwe haiwezi kua ni kodi ya majengo bali kodi ya mita za umeme kwajina jingine fichiki.Hivi kwa akili yako ukijenga nyumba na kupanga nyumba nani mmiliki hapo?
Unalipa huduma unayopata iwe umepata kwa kujenga,kukodi au kupanga.
Yaani mwenye nyumba aje kukulipia wewe kodi ya jengo eti Kisa mpangaji? Yeye ndio anaishi kwenye jengo?
Kila mtu alipe kodi na Serikali pia itambue vipande vyote vya ardhi Ili wamiliki walipe kodi ya ardhi
JF kwenye ubora wakenina nyumba 5 , 2 Kyela , 3 Dsm , kati ya hizo 1 ya Kyela na 1 ya Tandika naishi mwenyewe , sasa hizi 3 kwanini wapangaji wangu wakatwe kodi ya jengo ?
Mjinga ni wewe,usilete mfano irrelevant na usiwe mpuuzi,,hata hizo kodi za biashara unadhani anaelipa ni mwenye biashara au yeye ni daraja?Acha ujinga wewe.kodi ya majengo anatakiwa kulipa mmiliki wa jengo nasio vinginevyo.Kama ambavyo wamiliki wa magari ya abiria walivyokua wanalipa kodi ya magari yao nasio abiria ndivyo hivyo hivyo kwenye majengo inavyotakiwa kua.Ata mshahara wewe mmiliki wa mshahara ndiye unayelipa kodi nasio watumiaji wa mshahara wako.Ata kwenye biashara wewe mfanya biashara ndiye unayetakiwa utoe sehemu ya mapato yako kulipa kodi nasio wateja wako.Kwa hicho ulichokiandika hapo kama kodi ya jengo anatakiwa kulipa mpangaji je huyu mmiliki wa jengo yeye atakua kalipa kodi wapi?.Hii kodi imewekwa kisanii kwanza kwa serikali kurahisisha ukusanyaji wa fedha toka kwa watu lakini pia serikali kuongeza uwanja mpana wakukusanya sent ndogo ndogo toka kwa kila mita ya umeme au kwa kila mtu katika vitu ambavyo watu wanamatumizi navyo kila siku lakini hii ya luku kamwe haiwezi kua ni kodi ya majengo bali kodi ya mita za umeme kwajina jingine fichiki.
Whatever utakavyowaza, kodi ya jengo inalipwa na Mmiliki wa Jengo, sio anaeishi. Taarifa za nani anaitumia hiyo nyumba kwa wakati husika sio kipaumbele cha Serikali, bali nani ni miliki.Hivi kwa akili yako ukijenga nyumba na kupanga nyumba nani mmiliki hapo?
Unalipa huduma unayopata iwe umepata kwa kujenga,kukodi au kupanga.
Yaani mwenye nyumba aje kukulipia wewe kodi ya jengo eti Kisa mpangaji? Yeye ndio anaishi kwenye jengo?
Kila mtu alipe kodi na Serikali pia itambue vipande vyote vya ardhi Ili wamiliki walipe kodi ya ardhi