Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Unanimcompare na wewe?

Hata Hayati Magufuli tulimcompare na Mzee Kikwete shida iko wapi?


Mnafahamu maana ya Comparative advantage au analysis?


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Hili neno Comparative Advantage unajua maana yake au umeandika tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chawa kama chawa washaanza ,

Wanaumendea Tu mgongoni Kwa Rais ili wapate teuzi na mishahara minono minono

Hata wote waliopita walisema hivyo hivyo Ila wakienguliwa kwenye nyadhifa wanaanza kubwela bwela

Tanzania hii inamengi sana
Saizi tunachapa kazi hatuna mda mchafu wa kuelimisha wajinga kama Wewe.
 
Unaleta mada kwa ID nyingine kisha unarejea kuipongeza kwa ID tofauti, yaani unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama The Nile Perch. 🀣 🀣
 
umeleta maandiko tu humu,na hicho unachosema hatykioni!!, subiri tuzione hizo brbr ndo uje na bandiko humu!!usije ukaumbuka baadae kwa kutoa bandiko la kitu ambacho bado ni hakionekani!!
 
umeleta maandiko tu humu,na hicho unachosema hatykioni!!, subiri tuzione hizo brbr ndo uje na bandiko humu!!usije ukaumbuka baadae kwa kutoa bandiko la kitu ambacho bado ni hakionekani!!
Kama wewe kipofu huoni usilazimishe wote tuwe vipofu,sisi tunaona.

Maandiko ndio haya hapa πŸ‘‡







 
We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena[emoji28]!!!

Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!
Huyu sio mbunge wangu kweli wa huku unapojengwa Mradi mkubwa wa Bwawa la kufua umeme la Nyerere!!!
 
Hawa ndio wabongo sasa,kwa magu Nako mlisema ana kasi kuliko wote,leo mama tena ana kasi kuliko wote?
 
Ni UJINGA NA UPUUZI WA HALI YA JUU, KUSEMA "bajeti yake ya kwanza.." πŸ™„πŸ™„
Rais hana bajeti, labda ungesema BAJETI ya BUNGE.

Umeandika kwa kujipendekeza sana na KUMPAMBA RAIS.

Hivi huu UJINGA wa "KUIMBA" Mapambio ya sifa wanasiasa mnayayoa wapi??
Hizo ni KODI zetu wenyewe.



 
Morogoro road itanuliwe kupunguza msongamano bara barani na inawezekana,tukitengav100bil tunamaliza km 100.
 
Barabara ya mbezi ya njia 8 imekwama baada ya Magufuri kufa, barabara zote za mitaani zilizokuwa zinatandikwa lami zote zimesimama nenda mwananyamala,kijitonyama utajionea mwenyewe,sasa hizo barabara zinajengwa Wapi?watu wa Samia hamwezi kutudanganya,wadanganyeni wazanzibari, Watanganyika sasahivi tunayoakili, subiria 2025
 
Samia kaajili mapompoma,yanatudanganya utafikiri sisi atuna macho, Kabla ya Magufuri kufa, barabara ya mwenge tegeta, waliokuwa wameisha anza kuchimba kwaajili ya mwendo kasi, Magufuri kufariki kila Kitu kimesimama, hata Mwenge Morocco, barabara ya mwendo kasi wamifutilia mbali, baada ya kifo cha Magufuri
 
We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena[emoji28]!!!

Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!

Sio huyo tu, wanahaha sana kuongeza wengi tu kumsifu. Sasa sijui ni kwa nini? Wakati kama anafanya vyema watu wataona tu. Tumepigwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…