Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Rais msikivu anazidi kuchanja mbuga kama hivi yaani 👇kazi iendelee
Mama 5tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais msikivu anazidi kuchanja mbuga kama hivi yaani 👇kazi iendelee
Mama 5tena
Wewe endelea kulamba Tu
Kasikilize na shule ya uongozi huko
Hili neno Comparative Advantage unajua maana yake au umeandika tu😂😂😂😂Unanimcompare na wewe?
Hata Hayati Magufuli tulimcompare na Mzee Kikwete shida iko wapi?
Mnafahamu maana ya Comparative advantage au analysis?
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Saizi tunachapa kazi hatuna mda mchafu wa kuelimisha wajinga kama Wewe.Chawa kama chawa washaanza ,
Wanaumendea Tu mgongoni Kwa Rais ili wapate teuzi na mishahara minono minono
Hata wote waliopita walisema hivyo hivyo Ila wakienguliwa kwenye nyadhifa wanaanza kubwela bwela
Tanzania hii inamengi sana
Unaleta mada kwa ID nyingine kisha unarejea kuipongeza kwa ID tofauti, yaani unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama The Nile Perch. 🤣 🤣Nilishasema nasema tena,
Huyu Mama ni hatari sana kwa mipango,
Kwa kasi hii mnadhani mpaka mwaka 2030 tutakuwa tumefika wapi?
Sijaona kama Samia bado narudia tena,
Mama hana kelele ila kasi yake ni kubwa mno,
Ee Mungu mlinde Samia watanzania wapate maendeleo ya kweli,
Umeshapanic tayari 😁😁Unaleta mada kwa ID nyingine kisha unarejea kuipongeza kwa ID tofauti, yaani unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kama The Nile Perch. 🤣 🤣
Kama wewe kipofu huoni usilazimishe wote tuwe vipofu,sisi tunaona.umeleta maandiko tu humu,na hicho unachosema hatykioni!!, subiri tuzione hizo brbr ndo uje na bandiko humu!!usije ukaumbuka baadae kwa kutoa bandiko la kitu ambacho bado ni hakionekani!!
Nadhani kusema kazi iendelee ni kumkosea samia....ilitakiwa tuanze kazi
Huyu sio mbunge wangu kweli wa huku unapojengwa Mradi mkubwa wa Bwawa la kufua umeme la Nyerere!!!We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena[emoji28]!!!
Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!
Hawa ndio wabongo sasa,kwa magu Nako mlisema ana kasi kuliko wote,leo mama tena ana kasi kuliko wote?Waliomdharau huyu mama muda si mrefu watampigia magoti,
Anafanya kwa kasi sana kuliko wote,
NBS wamemuumbua mtu naona kwani namba hazidanganyi kabisa,
Mimi namwombea sana huyu Mama Mungu atupe uhai mpaka hiyo 2030 tushuhudie Tanzania mpya ya Samia,
Hongera Mama tuko na wewe
Ni UJINGA NA UPUUZI WA HALI YA JUU, KUSEMA "bajeti yake ya kwanza.." 🙄🙄Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1963497
Barabara ya mbezi ya njia 8 imekwama baada ya Magufuri kufa, barabara zote za mitaani zilizokuwa zinatandikwa lami zote zimesimama nenda mwananyamala,kijitonyama utajionea mwenyewe,sasa hizo barabara zinajengwa Wapi?watu wa Samia hamwezi kutudanganya,wadanganyeni wazanzibari, Watanganyika sasahivi tunayoakili, subiria 2025WATANZANIA AKILI ZITURUDI SASA,
Wale mnaolia na hayati kumbe miaka mitano mlijenga Km 1,004 tu za lami nchi nzima Mungu anawaona?
Hivi kumbe mlikuwa mnawapiga watu fix tu?
Ndio maana mnamwonea wivu mama kipenzi cha Watanzania kwa kufanya yale Watanzania wanataka,
Njooni tuungane tujenge nchi na chama chetu sioni ata haja ya Upinzani Tanzania,
Ndio kwa mara ya kwanza Ujenzi wa barabara,madaraja tunapewa pesa nyingi zaidi kwenye historia ya nchi hii ni kweli,
Mbataka nisimuunge mkono Rais wangu kwa lipi?
Inyeshe liwake nitakuwa na samia
Samia kaajili mapompoma,yanatudanganya utafikiri sisi atuna macho, Kabla ya Magufuri kufa, barabara ya mwenge tegeta, waliokuwa wameisha anza kuchimba kwaajili ya mwendo kasi, Magufuri kufariki kila Kitu kimesimama, hata Mwenge Morocco, barabara ya mwendo kasi wamifutilia mbali, baada ya kifo cha MagufuriBarabara ya njia nane kutoka Kimara mpk Kibaha mumeshindwa kumlipa mkandarasi, wananchi wanapigwa vumbi barabara ya kutoka Na kuingia Stand ya Mbezi sbb ya ukosefu wa fedha Leo mnapraise ushubwada! Acheni kudemka, twambieni wapi mnatifua ardhi kuweka pavements?
We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena[emoji28]!!!
Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!