Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

We mpuuzi kweli yani! Nikupe mfano tu ujenge lodge ya maana ya vyumba kumi kwa million 100 halafu msimamizi yeye kwa siku akupe Elfu 20 halafu yeye abakie na elfu 80 eti kwa sababu wewe huna muda wa kusimamia!

Hii ni akili au matope?

Rasilimali zetu na zilindwe kwa gharama yeyote haina maana kuleta wanyonyaji wengi kwa mgongo eti ni wawekezaji kwa mikataba ya kipuuzi yani mtu achote utajiri kwetu sie atuache maskini!

Nyerere angekuwa na tamaa angesha exploit ma dhahabu na mavitu mengine toka kipindi yuko Madarakani akajilimbikizia mimamli ila alikiwaza kizazi chetu ambacho ndio kimejaa ubinafsi na tamaa na kutokujali wengine!
 
Most likely unamjengea chuki mama
Na watendaji wake in every aspects

Tumeacha kutambua mchango wa watendaji na kutukuza watu

I know you are paid, but your move may be counterproductive
 
Chanjo ni bure? Kuna sehemu nimesema watu wanalipia wanapoenda kuchanja? Swali ni kuwa, tumepewa bure, tumenunua au tumekopeshwa?

Ajira mpya? Mbona mimi nimesema ni ajira gani zilizotolewa, una shida na hilo na kwakuwa mimi na wewe tumeshindwa kuweka hat vipicha au docs kama uthibitisho, tujipe muda.

Mmoja wapo wa watoto wenye sifa za juu kabisa za kupata mkopo na amekosa, tunaishi nyumba moja.

Airport mlioianzishia ujenzi ni ipi? Msalato? Hata hapa pia nimeshindwa kuweka ushahidi ila hata ukimuuliza SSH, atakukataa.

Mwisho wa siku, tukumbushe taratibu za zabuni za serikali zinachukua muda gani kukamilika kabla kandarasi haijaanza? Kisha uniambie ni muda gani mpo madarakani na mlianza hiyo michakato lini? Usisahau kuniambia pia huwa inachukua muda gani kutoka kwenye tamko mpaka Hazina kutoa pesa, kupokelewa eneo husika!

Ama muuliza swali hana akili, au mtoa jibu hamnazo, ngoja tuone.
 
Wewe unabwabwaja ujinga tuu hapa,nimeshakueleza mchakato wa chanjo via covax bado hielewi..

Airport Dom mkandarasi yuko site ndio kwanza hata mwezi haujapita toka amesaoni mkataba so yuko ku mobilise bado unaongea upuuzi.

Kukusanya na kupokelewa pesa linahitaji mda gani? In fact pesa ikipokelewa haikai Hazina inaondoka kwenda kwenye utekelezaji ikae kusubiria nini? Hujui kukaa na pesa kuna disrupt uchumi?

Mambo ya muda wa kukaa madarakani vinahusianaje? Kwani serikali huwa inalala? Kwamba Magu alivyoingia alikuta serikali haina mipango au imelala akaanza upya au? Mipango ipo siku nyingi kinachoweza kufanyika ni kuhuisha tuu kulingana na mda.

Unapenda ligi za kijinga..Huu hapa ni ujenzi wa barabara za lami za Tarura ukiendelea huku niliko km 2.5 za mjini kwa pamoja haijawahi tokea miaka yote ya Mwendazake.Hata picha za ujenzi wa. Madarasa ukitaka nitakuletea. πŸ‘‡



 
Marefa wataamua
 
Tume ya zambia haiteuliwi na Raisi Na katika nchi inayoongoza kwa kukataa unafiki na inayofata haki za binadamu ni zambia .



Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Na vipi wale ndege wanaolalia eapoti bado hawajatotoa? Kama bado itakuwa mabeberu waliwawekea mayai viza.
 
Hayo ya CCM mimi siyajui na wala siyo niliyoongelea kwenye post yangu. Waajiriwa wa Serikali wanaofanya kazi maofisini ni C CM?
 
Syndicate kivipi? Waibe w engine halafu aingizwe tena na mkuu wa nc hi? How?
 
Mkuu ni kweli umetoa takwimu....lakini tunaomba utuoneshe hizo barabara zinajengwa wapi na zimeanza lini au ujenzi huo umefikia hatua gani na ni barabara za wapi na wapi... hao wakina Magufuli unao waponda wanachao cha kuonesha na pengine nyie wakina Samia ndio mnachoringia kwa sasa...

Hebu twambie ni barabara gani na gani na ujenzi umeanza lini maana huu ni mwezi wa kumi na bajeti ni ya mwezi wa saba... hebu sema hata kwa kuonesha picha za hizo barabara na hata kuonesha jinsi ujenzi ulivyo anza kabisa toka mwezi wa saba.

Halafu na zile picha za shule na zahanati 200 tunaomba picha
 
Huoni kwa chuki zako sio,ngoja uoneshwe kwa lazima Maneno mengi ya nini? Sisi na Samia ni vitendo,facts na namba tuu πŸ‘‡



 
Mkuu huu ujenzi umeanza lini? hebu twambie...... maana ukiangalia kwa macho huo ujenzi haujaanza mwaka huu.... au mnaendeleza ujenzi wa airport ulio asisiwa na Magufuli?
 
Mkuu huu ujenzi umeanza lini? hebu twambie...... maana ukiangalia kwa macho huo ujenzi haujaanza mwaka huu.... au mnaendeleza ujenzi wa airport ulio asisiwa na Magufuli?
😁😁 Kasi ya mama itawaua kwa pressure,wewe macho yako yanaonesha huo ujenzi umeanza lini?

Hata Baadae ukitaka nitakupigia picha zingine.

Ma wasomeshe namba hao πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…