Mwanza sehemu gani?
Uwe unasoma between the lines, sio unakurupuka! Wapi nimeongelea habari ya Mwanza mzee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza sehemu gani?
We mpuuzi kweli yani! Nikupe mfano tu ujenge lodge ya maana ya vyumba kumi kwa million 100 halafu msimamizi yeye kwa siku akupe Elfu 20 halafu yeye abakie na elfu 80 eti kwa sababu wewe huna muda wa kusimamia!Win win gani hiyo mnajadili miaka 6? Bila shaka Serikali ya Chief Hangaya iko makini maslahi yatazingatiwa .
But usitegemee 50/50 ndio ukajua ni win win situation hakuna kitu kama hicho..ukipata 20/80 na teknolojia,ajira na Kodi plus multiplier effects ni big progress hiyo ..
Most likely unamjengea chuki mamaBajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1963497
Chanjo ni bure? Kuna sehemu nimesema watu wanalipia wanapoenda kuchanja? Swali ni kuwa, tumepewa bure, tumenunua au tumekopeshwa?Umepanic Sana sio kwa hili povu.
Miradi iliyoanza ni mingi Sana mfano airport ya Dodoma,logistics centers za kurasini na Ubungo,mabarabara nenda website ya Tanroads na Tarura watakuorodheshea..
Anauliza madarasa yanajengwa wapi? 😆😆 Una akili kweli wewe? Tembelea shule mbali mbali zenye upungufu utakuta ujenzi unaendelea..mimi Niko naweza kukupatia picha za ujenzi wa barabara na madarasa ukitaka.
Vituo vya afya Serikali ilishatoa orodha ya kata ambako vituo vinakojengwa sasa ni kazi yako kwenda au uwe unaangalia TV utaona..Juzi tuu hapo nimeona DC wa Serengeti,RC wa Mwanza na DC wa Handeni wakizimdua ujenzi wa vituo vya afya na ngoma juu wananchi wakifurahia,sasa wewe unaishi nchi gani?
Chanjo ni bure acha kupotosha,zinatolewa chini ya Mfuko wa covax wa kusaidia Mataifa maskini..Na awamu ya pili inakuja kutoka China wame donate yao hakuna shilingi iloyotoka kununua chanjo.
Watoto wote wenye vigezo wamepata mikopo bila kujali ukisoma shule gani,hao waliokopa hawana sifa kama wanazo wataje hapa .. Serikali haigawi fedha inatoa ikopo kwa wastahili.
Kuhusu ajira na kupandisha madaraja watumishi ndio usiseme ,maelfu ya ajira zimetolewa kuanzia walimu,manesi,madaktari,mapolisi,uhamiaji nk hizi ni zile kada zinaajiri mass employment lakini ajira kwenye sekta zingine zinaendelea kila siku tembelea tovuti ya utumishi utaona..
Mwisho ilikuaje miaka yote 6 hakuna hata mradi mmja mlikamilisha? Mlikuwa mnamsubili Samia?
Tunakamilisha miradi yenu na tunaanzisha mipya mingi zaidi tena yenye tija sio ya kukurupuka kama yenu.
KANDARASI YUKO SITE LAKINI KAZI HAINDELEI NA TUMEKUBALIANA "KAZI IENDELEE"Wakandarasi wako Site na jana gari yao imepata ajali,
Mpalange sio mtu mzuri
Wewe unabwabwaja ujinga tuu hapa,nimeshakueleza mchakato wa chanjo via covax bado hielewi..Chanjo ni bure? Kuna sehemu nimesema watu wanalipia wanapoenda kuchanja? Swali ni kuwa, tumepewa bure, tumenunua au tumekopeshwa?
Ajira mpya? Mbona mimi nimesema ni ajira gani zilizotolewa, una shida na hilo na kwakuwa mimi na wewe tumeshindwa kuweka hat vipicha au docs kama uthibitisho, tujipe muda.
Mmoja wapo wa watoto wenye sifa za juu kabisa za kupata mkopo na amekosa, tunaishi nyumba moja.
Airport mlioianzishia ujenzi ni ipi? Msalato? Hata hapa pia nimeshindwa kuweka ushahidi ila hata ukimuuliza SSH, atakukataa.
Mwisho wa siku, tukumbushe taratibu za zabuni za serikali zinachukua muda gani kukamilika kabla kandarasi haijaanza? Kisha uniambie ni muda gani mpo madarakani na mlianza hiyo michakato lini? Usisahau kuniambia pia huwa inachukua muda gani kutoka kwenye tamko mpaka Hazina kutoa pesa, kupokelewa eneo husika!
Ama muuliza swali hana akili, au mtoa jibu hamnazo, ngoja tuone.
Marefa wataamuaWewe unabwabwaja ujinga tuu hapa,nimeshakueleza mchakato wa chanjo via covax bado hielewi..
Airport Dom mkandarasi yuko site ndio kwanza hata mwezi haujapita toka amesaoni mkataba so yuko ku mobilise bado unaongea upuuzi.
Kukusanya na kupokelewa pesa linahitaji mda gani? In fact pesa ikipokelewa haikai Hazina inaondoka kwenda kwenye utekelezaji ikae kusubiria nini? Hujui kukaa na pesa kuna disrupt uchumi?
Mambo ya muda wa kukaa madarakani vinahusianaje? Kwani serikali huwa inalala? Kwamba Magu alivyoingia alikuta serikali haina mipango au imelala akaanza upya au? Mipango ipo siku nyingi kinachoweza kufanyika ni kuhuisha tuu kulingana na mda.
Unapenda ligi za kijinga..Huu hapa ni ujenzi wa barabara za lami za Tarura ukiendelea huku niliko km 2.5 za mjini kwa pamoja haijawahi tokea miaka yote ya Mwendazake.Hata picha za ujenzi wa. Madarasa ukitaka nitakuletea. 👇
View attachment 1964869
View attachment 1964871
Tume ya zambia haiteuliwi na Raisi Na katika nchi inayoongoza kwa kukataa unafiki na inayofata haki za binadamu ni zambia .Naona wewe unakula tume na unashiba kabisaa
Tusipoacha kujidanganya na tume hakuna jipya. Tambua Kenya waliitoa Kanu bila tume huru. Zambia walimtoa Kaunda bila tume huru hata juz wakati wanamtoa yule chapombe Rais mpya MH. HIKAINDE alishinda kwa tume ileile.
Mpaka pale tutakapokuwa tayari na kuukubali ukweli ndio upinzani ufikirie kushinda
Na vipi wale ndege wanaolalia eapoti bado hawajatotoa? Kama bado itakuwa mabeberu waliwawekea mayai viza.Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1963497
Ambao ndio akina nani?Marefa wataamua
Atashindwa baba yako mkuuShindwa kabisa wewe!
Hayo ya CCM mimi siyajui na wala siyo niliyoongelea kwenye post yangu. Waajiriwa wa Serikali wanaofanya kazi maofisini ni C CM?Ni kweli kabisa .
Kuna kundi dogo ndani ya CCM ,serikali na vyombo vya dola ambalo lilifanikiwa kukwapua Mali za umma kwa mgongo wa kuua upinzani .
Kwao maendelea na amani ya nchi ni kukosekana MTU wa kusema wazi wizi wa watu waliopewa dhamana.
Yaani kundi dogo ndani ya serikali na vyombo vya dola wakiona upinzania umefutika kwao ndio maeneleo mana hakuna tena wa kuishinikiza serikali.
Kumbe maendeleo yao binafsi ndiyo maendeleo ya nchi.
Maisha yao ya anasa ndiyo maisha bora ya watanzania.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Syndicate kivipi? Waibe w engine halafu aingizwe tena na mkuu wa nc hi? How?It was a syndicate sio bahati mbaya ndio maana vyombo vya habari vilipigwa ban,wapinzani ban na alitaka kufungua hadi hizi social media.
Alianza kutusaka sisi tuliokuwa kinyume.Unadhani zile kauli za kusema saizi ni zamu yetu nyie tulieni kwamba zilikuwa za bahati mbaya?
Walichagua miradi mikubwa ambyo ndio rahisi kupiga na kuwa fool idiots wengi wa nchi hii.
Ukiona mtu analinda wezi ujue nae ni mnufaikaSyndicate kivipi? Waibe w engine halafu aingizwe tena na mkuu wa nc hi? How?
Huoni kwa chuki zako sio,ngoja uoneshwe kwa lazima Maneno mengi ya nini? Sisi na Samia ni vitendo,facts na namba tuu 👇Mkuu ni kweli umetoa takwimu....lakini tunaomba utuoneshe hizo barabara zinajengwa wapi na zimeanza lini au ujenzi huo umefikia hatua gani na ni barabara za wapi na wapi... hao wakina Magufuli unao waponda wanachao cha kuonesha na pengine nyie wakina Samia ndio mnachoringia kwa sasa...
Hebu twambie ni barabara gani na gani na ujenzi umeanza lini maana huu ni mwezi wa kumi na bajeti ni ya mwezi wa saba... hebu sema hata kwa kuonesha picha za hizo barabara na hata kuonesha jinsi ujenzi ulivyo anza kabisa toka mwezi wa saba.
Halafu na zile picha za shule na zahanati 200 tunaomba picha
Mkuu huu ujenzi umeanza lini? hebu twambie...... maana ukiangalia kwa macho huo ujenzi haujaanza mwaka huu.... au mnaendeleza ujenzi wa airport ulio asisiwa na Magufuli?Wewe unabwabwaja ujinga tuu hapa,nimeshakueleza mchakato wa chanjo via covax bado hielewi..
Airport Dom mkandarasi yuko site ndio kwanza hata mwezi haujapita toka amesaoni mkataba so yuko ku mobilise bado unaongea upuuzi.
Kukusanya na kupokelewa pesa linahitaji mda gani? In fact pesa ikipokelewa haikai Hazina inaondoka kwenda kwenye utekelezaji ikae kusubiria nini? Hujui kukaa na pesa kuna disrupt uchumi?
Mambo ya muda wa kukaa madarakani vinahusianaje? Kwani serikali huwa inalala? Kwamba Magu alivyoingia alikuta serikali haina mipango au imelala akaanza upya au? Mipango ipo siku nyingi kinachoweza kufanyika ni kuhuisha tuu kulingana na mda.
Unapenda ligi za kijinga..Huu hapa ni ujenzi wa barabara za lami za Tarura ukiendelea huku niliko km 2.5 za mjini kwa pamoja haijawahi tokea miaka yote ya Mwendazake.Hata picha za ujenzi wa. Madarasa ukitaka nitakuletea. 👇
View attachment 1964869
View attachment 1964871
😁😁 Kasi ya mama itawaua kwa pressure,wewe macho yako yanaonesha huo ujenzi umeanza lini?Mkuu huu ujenzi umeanza lini? hebu twambie...... maana ukiangalia kwa macho huo ujenzi haujaanza mwaka huu.... au mnaendeleza ujenzi wa airport ulio asisiwa na Magufuli?
KabisaUkiona mtu analinda wezi ujue nae ni mnufaika
😁😁 Kasi ya mama itawaua kwa pressure,wewe macho yako yanaonesha huo ujenzi umeanza lini?
Hata Baadae ukitaka nitakupigia picha zingine.
Ma wasomeshe namba hao 👇
View attachment 1965099
View attachment 1965100