Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

HATUTAKI KUSIKIA POROJO NA SIFA ZA KIJINGA ZA KUJIKOMBA NA KUMPAMBA MTU TUNATAKA KUONA MAAJABU YALIYOFANYIKA AWAMU YA 5,TOFAUTI NA HAPO MNAPOTEZA MUDA WENU NA DAWA YENU INACHEMKA.

JPM ANAISHI NA ATAKUMBUKWA DAIMA.
 
Daaah
 
ACHA ROHO MBAYA NA WIVU HUU
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Wazaramo tuna msemo "zilongwa mbali zitendwa mbali". Hakuna awamu ya utawala ambayo iliweza kupata asilimia 100 ya mapato kama yalivyokisiwa na bajeti. Ila tuombe ndoto yako itimie ndipo uje kumpamba kwa pambio za sifa.

Vv
 
Shida kubwa ya watanzania ilikuwa ni barabara na huyu mama kafanya kwel,huku kwetu kuna barabara ilkuwa imeshapotezewa kwa takriban miaka 10+ lakin wakat wa huyu mama imetengenezwa.

Hongera mama
 
Yaaan nakuunga mkono hawawezii kuxema mema ya mheshimiwa rais samia bila kuponda alichofanya hayati, magufuliii

Wanakosea, Hilo ni jiwe la msingi, utawala bora. Kusaidia Watanzania wengi, Maskini, liliwekwa na Kidume, Magufuli.

Alisimama, na kusimamia, kuona maskini anapata ridhiki.
 
Kweli Ccm Ni wanafiki; Kwani Samia si alikuwa msaidiz wa Mzee Baba?
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…