Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaahHATUTAKI KUSIKIA POROJO NA SIFA ZA KIJINGA ZA KUJIKOMBA NA KUMPAMBA MTU TUNATAKA KUONA MAAJABU YALIYOFANYIKA AWAMU YA 5,TOFAUTI NA HAPO MNAPOTEZA MUDA WENU NA DAWA YENU INACHEMKA.
JPM ANAISHI NA ATAKUMBUKWA DAIMA.
Sisi tunajadili Marais na barabara mkuuBasi tumepata rais mzuri Sana kumzidi alitengeza barabara tangua akiwa waziri mpaka Rais.
ACHA ROHO MBAYA NA WIVU HUUHATUTAKI KUSIKIA POROJO NA SIFA ZA KIJINGA ZA KUJIKOMBA NA KUMPAMBA MTU TUNATAKA KUONA MAAJABU YALIYOFANYIKA AWAMU YA 5,TOFAUTI NA HAPO MNAPOTEZA MUDA WENU NA DAWA YENU INACHEMKA.
JPM ANAISHI NA ATAKUMBUKWA DAIMA.
KaziiendeleeKulikoni si napongeza tumepata jembe?kinakuuma Nini?
Ushamba wako na ubinafsi wako unajisikia vibaya kupongeza wengine😂😂😂
MikopoHizo ni habari nzuri. Ila najiuliza tu, pesa zenyewe zinatoka wapi?
Mama keshamaluza kila kitu,Inatia moyo kusikia habari kama hii. Mama endelea kuupiga mwingi. Prove them wrong those with negative thoughts about you
Acha kujidharau kabisaSishangai maana waafrika ndivyo tulivyo
Wazaramo tuna msemo "zilongwa mbali zitendwa mbali". Hakuna awamu ya utawala ambayo iliweza kupata asilimia 100 ya mapato kama yalivyokisiwa na bajeti. Ila tuombe ndoto yako itimie ndipo uje kumpamba kwa pambio za sifa.Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,
"Hakuna kama Samia "
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote ile hapa duniani iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni TZS 1BL/Km basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizowahi kujengwa tangu tupate Uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima huenda zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu zote basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga Jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano ( A comparative analysis|advantage )
View attachment 1963497
VIVA SAMIA VIVA || VIVA MPANGO VIVA
View attachment 2000487
HakikaInatia moyo kusikia habari kama hii. Mama endelea kuupiga mwingi. Prove them wrong those with negative thoughts about you
Yaaan nakuunga mkono hawawezii kuxema mema ya mheshimiwa rais samia bila kuponda alichofanya hayati, magufuliii
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,

Wewe unaonaje?Kweli Ccm Ni wanafiki; Kwani Samia si alikuwa msaidiz wa Mzee Baba?
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,Sishangai maana waafrika ndivyo tulivyo
Mmeanza tena?"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,
Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
nini?Mmeanza tena?