Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Wonderful
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
Nzuri
 
Unfortunately,bajeti zaidi ya 2/3 ya barabara iliishia kulipa madeni ya wakandarasi ambao awamu ya 5 hawakulipa..

Bajeti ya mwaka huu ndio itakuwa na matokeo zaidi.
 
Ameshajenga hizo barabara, dogo kumbuka hii ni CCM, chama kisicho na dira ya maendeleo.
 
Ameshajenga hizo barabara, dogo kumbuka hii ni CCM, chama kisicho na dira ya maendeleo.
Hata barabara moja hajajenga popote labda Kizimkazi Zanzibar kinachoendelea ni kuweka viraka au kwa lugha ya kigeni wanaita "Patching" barabara zake ni za vumbi kwa shilingi milioni 500 ambazo tayari zimesharibika tayari....aibu sana viongozi wa nchi hii
 
Tanzania haiwezi kuendelea chini ya CCM hata siku moja. Tunatawaliwa na viongozi wanafiki na wenye uchu ya madaraka na ufisadi tu.
 
Hayo si maandishi tu. Tujenge tuone.
 
Sawa Mzee wa Umoja Party 🤣🤣🤣🤣

Hizi hapa baadhi ya barabara mpya za TARURA,wiki ijayo ntaleza za Tanroads 👇















 
1. Mtangulizi wangu alikuwa na Power kuliko mimi.
2. Viatu vyake havinitoshi hata kidogo.
3. Kila ananitokea na kunitaka nikamilishe miradi yote aliyoianzisha.
 
Mwaka 2025 ndipo mtakapojua Watanzania ni watu gani?
 
Huu ni kukosa hekima, mehemu hajafikisha hata mwaka mmoja mnaanza kusifiana huku si ndiko kutafutana uchawi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…