Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Matokeo Chanya ya tozo👇

Screenshot_20220115-185058.png

Screenshot_20220120-131942.png

Screenshot_20220120-132032.png

Screenshot_20220120-132057.png
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Wonderful
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
Nzuri
 
Unfortunately,bajeti zaidi ya 2/3 ya barabara iliishia kulipa madeni ya wakandarasi ambao awamu ya 5 hawakulipa..

Bajeti ya mwaka huu ndio itakuwa na matokeo zaidi.
 
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,​

"Hakuna kama Samia "​

Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote ile hapa duniani iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21

Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni TZS 1BL/Km basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizowahi kujengwa tangu tupate Uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima huenda zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu zote basi ni huyu Mama,

Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga Jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano ( A comparative analysis|advantage )

View attachment 1963497

VIVA SAMIA VIVA || VIVA MPANGO VIVA

View attachment 2000487
Ameshajenga hizo barabara, dogo kumbuka hii ni CCM, chama kisicho na dira ya maendeleo.
 
Hata barabara moja hajajenga popote labda Kizimkazi Zanzibar kinachoendelea ni kuweka viraka au kwa lugha ya kigeni wanaita "Patching" barabara zake ni za vumbi kwa shilingi milioni 500 ambazo tayari zimesharibika tayari....aibu sana viongozi wa nchi hii
 
Tanzania haiwezi kuendelea chini ya CCM hata siku moja. Tunatawaliwa na viongozi wanafiki na wenye uchu ya madaraka na ufisadi tu.
 
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,​

"Hakuna kama Samia "​

Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote ile hapa duniani iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21

Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni TZS 1BL/Km basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizowahi kujengwa tangu tupate Uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima huenda zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu zote basi ni huyu Mama,

Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga Jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano ( A comparative analysis|advantage )

View attachment 1963497

VIVA SAMIA VIVA || VIVA MPANGO VIVA

View attachment 2000487
Hayo si maandishi tu. Tujenge tuone.
 
Hata barabara moja hajajenga popote labda Kizimkazi Zanzibar kinachoendelea ni kuweka viraka au kwa lugha ya kigeni wanaita "Patching" barabara zake ni za vumbi kwa shilingi milioni 500 ambazo tayari zimesharibika tayari....aibu sana viongozi wa nchi hii
Sawa Mzee wa Umoja Party 🤣🤣🤣🤣

Hizi hapa baadhi ya barabara mpya za TARURA,wiki ijayo ntaleza za Tanroads 👇

IMG_20211225_113319_191.jpg

IMG_20211225_113819_864.jpg

IMG_20211225_112603_239.jpg

IMG_20211225_112819_383.jpg

IMG_20211225_112128_704.jpg

IMG_20211225_112546_524.jpg

IMG_20211225_111856_267.jpg

IMG_20211225_112049_148.jpg
 
1. Mtangulizi wangu alikuwa na Power kuliko mimi.
2. Viatu vyake havinitoshi hata kidogo.
3. Kila ananitokea na kunitaka nikamilishe miradi yote aliyoianzisha.
 
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,​

"Hakuna kama Samia "​

Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote ile hapa duniani iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21

Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni TZS 1BL/Km basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizowahi kujengwa tangu tupate Uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima huenda zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu zote basi ni huyu Mama,

Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga Jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano ( A comparative analysis|advantage )

View attachment 1963497

VIVA SAMIA VIVA || VIVA MPANGO VIVA

View attachment 2000487
Huu ni kukosa hekima, mehemu hajafikisha hata mwaka mmoja mnaanza kusifiana huku si ndiko kutafutana uchawi???
 
Back
Top Bottom