Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidiSishangai maana waafrika ndivyo tulivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidiSishangai maana waafrika ndivyo tulivyo
.Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
Wataona very soonMwananchi wa kawaida haangalii umeweka bajeti kiasi gani anataka matokeo...akipita barabara ya kimara kibaha akiona mapipa yapo barabarani barabara haikamiliki au mashimo barabara ya kawawa kuanzia magomeni mapipa mkandarasi haonekani au wanaosubiri kukabidhiwa nyumba magomeni kota kila siku inahairishwa huwezi kusema haya.tusisifu kwa kutengeneza mabomu ya baadaye au kushindanisha serikali.kazi inaendelea na sio rahisi
Tena bajeti ya mwaka ujao ndio mtashangaa zaidi maana Jumuia ya kimataifa inamuamini mama na confidence kwenye biashara kwa sasa ni kubwa ,pesa inamiminika kama yote..
Mama atafanya wonders Sana.
Kunawatu wanachukia sana hiliTena bajeti ya mwaka ujao ndio mtashangaa zaidi maana Jumuia ya kimataifa inamuamini mama na confidence kwenye biashara kwa sasa ni kubwa ,pesa inamiminika kama yote..
Mama atafanya wonders Sana.
Wachukie tuu hadi wameze bublered wire itapendezaKunawatu wanachukia sana hili
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Kuhusu Samia na unadhilifu hilo sahauHiyo bajeti unaweza shangaa inaishia kujenga km100 Tu zingine Hao Hao kina Samai Na kiwete wanapiga
YeahWachukie tuu hadi wameze bublered wire itapendeza
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1963497
ndio
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano

Hakika anastahili sana,Hongera zaidi mama Samia Suluhu
DuuhHakika anastahili sana,
Haya mambo ndio yanifanya nimpende sana Mama Samia,Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano
=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1963497
Ndio mkuuWachukie tuu hadi wameze bublered wire itapendeza