Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Budget kubwa lakini hakuna maji hicho ni kitu gani? Zero minus
 
Tanzania nchi nzuri sana
 
Kali hii,Samia kiboko
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Tanzania ni safe na Mama Samia Suluhu
 
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Daaah safi sana hii,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Kaziindelee Tanzania na Samia
 
Maji
Kila kona Rais Samia anafanya vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…