Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Huko tutafika...

Ila vigezo na masharti kufuatwa....

Maelekezo ni kwa wakulima WADOGO....gunia 500 ni tani 50...mkulima mdogo huyo?!!!

Utaratibu si kununua kwa WAFANYABIASHARA NA WAKAA KATI....

Fuatilia ujiridhishe mkuu wangu....
Majamaa mnasahau haraka nyie, anayezuiaga mahindi yasiende nje si nyie au? Mngesema kwenye ilani yenu mtu akipata soko nje asizuiwe ingekuwa poa.
 
Gunia 500 ni tani 50....ni tofauti na maelezo waliotoa NFRA...nimemkumbusha afuatilie vyema......
Tani 50 serikali inashindwa kununua kweli, sasa wawekezaji mnaowaita kuja kuwekeza kwenye kilimo, nao watavuna gunia tatu tatu au?
 
Tani 50 serikali inashindwa kununua kweli, sasa wawekezaji mnaowaita kuja kuwekeza kwenye kilimo, nao watavuna gunia tatu tatu au?
Mkuu wangu zilitolewa bilioni 50 kwa NFRA kununua mahindi kwa wakulima wadogo.....tatizo lililojitokeza ni kuwa WAFANYABIASHARA NA WAKAA KATI wakaingilia Kati na kuleta makumi ya tani za mahindi...lifikirie na hili...pia lingewaumiza hao walengwa.....

All and all serikali imesikia kilio na MALALAMIKO ya WANAOSTAHILI....
 
Majamaa mnasahau haraka nyie, anayezuiaga mahindi yasiende nje si nyie au? Mngesema kwenye ilani yenu mtu akipata soko nje asizuiwe ingekuwa poa.
Mkuu kilicholengwa na serikali ni kumpa nafuu mkulima mdogo....kwani nchi hii ina wakulima wengi (mmojamoja) wanaozalisha maelfu ya tani ?!!

Tuwe wakweli kaka....
 
😍😍😍
 
Mkuu kilicholengwa na serikali ni kumpa nafuu mkulima mdogo....kwani nchi hii ina wakulima wengi (mmojamoja) wanaozalisha maelfu ya tani ?!!

Tuwe wakweli kaka....
😍😍😍 Uzalendo wako ni wa kiwango cha juu sana
 
Majamaa mnasahau haraka nyie, anayezuiaga mahindi yasiende nje si nyie au? Mngesema kwenye ilani yenu mtu akipata soko nje asizuiwe ingekuwa poa.
Mkuu haujasikia mwaka huu mvua ni kidogo?

Bado tu hujaelewa maana ya kuzuia watu kuuza chakula nje?

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Tupe takwimu za mtangulizi wake wakati anachukua nchi hali ya upatikanaji wa maji ilikuwaje na Hadi mauti inamkuta hali ya upatikanaji wa maji ikoje. Kama Samia ataweza kufanya mara tatu ya mtangulizi wake nadhani by the end of FY 2021/2022 tutegemee upatikanaji wa maji kwa 100% vinginevyo ni stori tu za kwadanganya watu
 
😍😍😍 Uzalendo wako ni wa kiwango cha juu sana
Yashukuriwe madarasa ya ITIKADI niliyopitia chamani 🀣🀣

CCM ni IMANI....
CCM ni UTII.....
CCM ni kuielewa vyema historia ya kweli ya taifa letu......

Shukran mkuuπŸ™

SIEMPRE JMTπŸ’ͺ

ADUMU CHIFU MKUU HANGAYA ,amenπŸ™
 
Tuendelee kuipigania CCM na mama ,

😍😍😍
 
Hii picha wametengeza chadema,

Isikupe shida, nia yao ni kupata huruma kama ilivyo kwako,
No mkuu zamani hata mimi nilikuwa naamini lakini kunamaeneo ukienda,hujazoea unatamani kurudi mda huo.
Wajitahidi tu hqsa wabunge na madiwani kuwasilisha uhalisia wa maeneo ya wanao wawakilisha. Waweze kusaidiwa,najua serikali wakiamua hawashindwi. Wawakilishi watoe hali halisi.
 
Tuendelee kuipigania CCM na mama ,

😍😍😍
Haturudi nyuma....
Haturudi nyuma....

NI WAJIBU WETU MKUU kiongozi wangu......

KAZI INAENDELEA KWA KASI YA KUTISHAπŸŽ€πŸ“’πŸ“―
 
Nadhani ungesoma vizuri kilichoandikwa,

Sijasema upatikanaji wa maji safi na salama utafikiwa kwa 100% Mwaka 2022.

Rudia kusoma vizuri acha kuparamia
 
Haturudi nyuma....
Haturudi nyuma....

NI WAJIBU WETU MKUU kiongozi wangu......

KAZI INAENDELEA KWA KASI YA KUTISHAπŸŽ€πŸ“’πŸ“―
Kada nimependa sana Royalty yako kwa Taifa, 😍😍😍

Endelea hivyohivyo,

#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…