Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

Allah akuongoze Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan katika kila la kheri na akuepushe katika kila la shari wewe na viongozi wezako wa Tanzania katika kuiongoza Tanzania Inshaallah.
 
Wadau, hivi kweli kuna Bajeti ya serikali inasomwa leo?Mbona hatuoni dalili hapa mtandaoni zaidi tu ya thread zinazotujuza kuwa leo kuna Bajeti?

Au wameahirisha?

Mnaotazama TBC,nini kinaendelea?
Bunge halina mvuto, hivyo watu hawafuatilii bunge la majizi ya kura. Hata huku mitaani watu hawasikilizi kabisa maana wanajua hakuna jipya.
 
Mimi nasubiri tu nione watanipandisha daraja langu au wataniletea za kuleta ili niendelee kuzingua kazini! Nahesabia tu! Mwaka wa sita huu, bila bila!
Ukizingua mtazinguana na Mkurugenzi wako mkuu[emoji23]
 
Watanzania mko wapi, bajeti yenu inasomwa huku.[emoji23][emoji23][emoji23]

Watu hawana hata mpango...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera mhe. Waziri Dr. Mwigulu kwa kuwasilisha bajeti nzuri, sasa tusimamie kwa vitendo.
 
Hilo bunge lina laana hakuna yeyote anayehangaika nalo kwa chochote kinachoendelea humo ndani, kusoma budget ni sawa tu na kutangaza majina ya wageni mahawara zao.
Hahahaha mkuu umeua aisee [emoji23][emoji23]
 
Haki, haki, haki hili neno Mwigulu kalirudia sana kwenye hotuba yake.

Hii inathibitisha kwamba Mh Lissu alikuwa sahihi sana kuja na slogan ya UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU
 
Bunge halina mvuto, hivyo watu hawafuatilii bunge la majizi ya kura. Hata huku mitaani watu hawasikilizi kabisa maana wanajua hakuna jipya.
Mimi nimetoka Dodoma jioni hii nikashuka hapa Moro nipo baa watu hawana habari wameka flash wanagonga muziki as usual
 
Back
Top Bottom