Some basic highlights from the Budget 2021
1. SDL threshold will now be for 10 Employees not 4 Employees as it was before. Currently SDL is paid by Employer 4% of the Employee Gross Salary.
2. Kupungua kwa Excise Duty on beer from TZS 765 per litre to TZS 610 per litre.
3. Kufuta need ya Minister for Finance kutoa waiver ya penalties and interest. Sasa kutolewa na Commissioner General.
4. Exemption ya VAT kwa NGOs zenye MOUs na Government ambapo MOU inaeleza kwamba serikali itazisaidia taasisi hizi kupata msamaha wa kodi ya VAT.
5. Makosa ya Bajaji na Bodaboda punguzo la adhabu kutoka TZS 30,000 hadi TZS 10,000 kwa kosa.
6. Transfer Pricing penalties resulted from transfer pricing adjustments passed by TRA. In 2018 TP Regulations introduced this penalty which is 100% of the adjustment (rather than additional tax assessed).
7. Kuanzisha gharama ya kila muamala ya fedha kuanzia TZS 10 hadi TZS 10,000 kwa kila muamala, kulingana na kiwango.
8. Kutoza kiwango cha TZS 10 hadi TZS 200 kwa siku kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio.
9. Ukusanyaji wa Kodi ya kodi ya majengo (Property Tax) ufanywe kupitia Luku. Uksanyaji utafanyika kila mwezi. Ukusanyaji utakua TZS 1,000 kwa nyumba ndogo na TZS 5,000 kwa Ghorofa.