Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

Hapo unapoelekea utapata kisukari,vyakula vyote unavyokula vitamu,soda nyingi punguza soda
 
Kama kila kitu kipo ndani huwa natumia 5000 kwa ajili ya vitafunwa asubuhi. Ila kama hakuna si chini ya 20000. Watu wazima watatu, watoto wawili.
 
Piga hesabu na vitu vya msingi ndio maana ya budget ya siku. Hivyo unaenda kununua at per labda unatumia 150k. maana yake kwa simu ukitumia kitunguu sio bure ulikinunua.
Mie roughly kwa siku 35,000/=
 
Mungu nisaidie Sina kipato kikubwa ila haya mambo nilihisi yatanitia uchizi sawa na ujenzi unaandika Kila kitu ulichonunua nikaja jifunza natakiwa niwe na pesa kwisha habari ili watu wale wanachotaka wafurahi kama hakuna wanachotaka wanambiwa hakuna ila watakipata miye si ndio napambana bwana
 
Nimejitahid sana kuacha soda lakin nimefeli, natembea adi na kopo la maji safi bariiid lakin pepo la soda linanikalia kooni linanifunga na miguu linanipeleka dulani. nahitaji THERAPY
Unavyozidi kutumia sukari microbiomes walioko ndani mwako ndivyo wanazidi kuufanya ubongo wako uhitaji tena na tena kwasababu wanaipenda.
 
Mi wife huwa nampa laki nne na nusu kila mwezi.. Ila sasa hapo hapo na mimi huwa natoa pesa yangu mfukoni kuwa nanunua vitu vidogo nikijiskia..

Kwahiyo on average kwa siku inaweza kuwa kama 25,000 kwa sababu mimi asubuh na mchana huwa nakula town na ukijumlisha nauli.

Familia ya mtoto mmoja
 
Hii formula yako niliijaribu ikafail kabsa nyumbani kwangu
 
Kwa mfumo huu wa chakula lazima mtu upate kwashakor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…