Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

Haishauriwi unga kukaa muda mrefu, angalau ukae wiki tu maana mahindi yetu huwa yana madawa hivyo yatakiwa kuoshwa vizuri, yakaushwe afu yasagwe. Wengi hatukaushi hivyo ule unyevu nyevu husababisha unga kuharibika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata ukiukoboa?
 
Naacha 300000/= ya mwezi mzima hapo nakua nimenunua vitu vifuatavyo
Mkaa kiroba kikubwa=45000
Mafuta ya kupikia lita 5@=37000
Mchele kilo 30@2200=66000
Unga dona kilo 20@1500=30000
Gesi mtungi mkubwa kila baada ya miezi miwili =53000
Kingamuzi=23000
Umeme=50000
Maji=10000
Sukari kilo 5@2800=14000
Sabuni jamaa 3@3000=15000
Sabuni Toss 3@4000=12000
Maziwa lita 5kila wiki=4000
Soda kreti 2@23000
Akiba namkabidhi wife 50000
Namlipa mke wangu 50000 kila mwezi
Nb..Familia ni watu watano watoto watatu [emoji3][emoji3] inayobaki ni kimwagilia moyo tu
 
Nimejitahid sana kuacha soda lakin nimefeli, natembea adi na kopo la maji safi bariiid lakin pepo la soda linanikalia kooni linanifunga na miguu linanipeleka dulani. nahitaji THERAPY
Kama mimi kwenye pombe,hata nikijitahidi vipi kuikwepa naweza nikawahi kabisa kwenda nyumbani, ila nikiona hata tangazo tu la kinywaji nakurupuka mbio kuzitafuta bar zilipo
 
Mmmm mi kwangu hua ipokama tanesco kunamda huoo kunamda holaaa.

Ukinikuta hasbui sehem nzuri natumia 6k hasbui usishangae kunikuta kesho niko uchochoroni na maandaz mawili na chai yakupuliza na kwangu hua ni normal tu na wenzangu washanizoea.

Maranyingi ukikuta vikukukuku sana kwangu ujue nishalipia kodi ya frem na ela ya term ijayo yawatoto nishaifikisha ata nusu na akina benk sio mbaya ila kama sivyo hua ni nafaka na majani wikinzima

Chamsingi hua nahakikisha vitu muhimu kama unga mchele sukari ngano mafuta and etc ni vyakutosha na ivyo ndo hua vinanipa presha so hua nikipata ela yangu kwenye kazi zangu naua kuanzia laki5+ kujaza store kwavitu vinavyotunzika ila baada ya apo siku nikiwa vzuri ni kuku wikinzima siku nikiwa vibaya namute wife anamaliza game fresh na tukikosa hua tunakula ivo ivo vilivyomo mdani uzuri wanangu ni nimakanda hua hawavungi.
 
Tushirikishane bajeti yako hasa nyakati hizi ambazo bidhaa muhimu kama nafaka zilivyopanda bei. Je, wewe kwenye familia yako bajeti kwa siku ni shilingi ngapi?
Kila kitu ndani kipo, huwa Mimi naacha elfu kumi tu, japo kihalisia muda mwingine pia haitoshi kabisa, maana tupo wanne,

Ila maisha sasaivi yamekuwa juu Sana kwakweli, mchele Jana nimenunua Kg 20 kwa 54,000/= mafuta kupikia ndio kidogo yameshuka dumu la litre 20 elfu 80
 
Mmmm mi kwangu hua ipokama tanesco kunamda huoo kunamda holaaa.

Ukinikuta hasbui sehem nzuri natumia 6k hasbui usishangae kunikuta kesho niko uchochoroni na maandaz mawili na chai yakupuliza na kwangu hua ni normal tu na wenzangu washanizoea.

Maranyingi ukikuta vikukukuku sana kwangu ujue nishalipia kodi ya frem na ela ya term ijayo yawatoto nishaifikisha ata nusu na akina benk sio mbaya ila kama sivyo hua ni nafaka na majani wikinzima

Chamsingi hua nahakikisha vitu muhimu kama unga mchele sukari ngano mafuta and etc ni vyakutosha na ivyo ndo hua vinanipa presha so hua nikipata ela yangu kwenye kazi zangu naua kuanzia laki5+ kujaza store kwavitu vinavyotunzika ila baada ya apo siku nikiwa vzuri ni kuku wikinzima siku nikiwa vibaya namute wife anamaliza game fresh na tukikosa hua tunakula ivo ivo vilivyomo mdani uzuri wanangu ni nimakanda hua hawavungi.
Maisha haya, mtu unajaza viroba vya nafaka ndani Kama una duka,

Ila kwa sisi wenye familia Ni muhimu kufanya hivyo
 
Nimejitahid sana kuacha soda lakin nimefeli, natembea adi na kopo la maji safi bariiid lakin pepo la soda linanikalia kooni linanifunga na miguu linanipeleka dulani. nahitaji THERAPY
Mimi nilifanikiwa kuacha kunywa soda kabisa,nilikuwa addicted na Coca-Cola, kwa siku nilikuwa napiga nne, ziliniletea madhara nikaziacha mpk leo mwaka sasa
 
Kama mimi kwenye pombe,hata nikijitahidi vipi kuikwepa naweza nikawahi kabisa kwenda nyumbani, ila nikiona hata tangazo tu la kinywaji nakurupuka mbio kuzitafuta bar zilipo
Kwakweli,bia kuacha Ni mtihani
 
Maisha haya, mtu unajaza viroba vya nafaka ndani Kama una duka,

Ila kwa sisi wenye familia Ni muhimu kufanya hivyo

Yaani kutokua na hukakika wa kipato, matibabu na assurance ya mali zetu ndo kinachosabasha kuishi kwa plan B ila wanasiasa walilijua ili ndo maana wakajiwahi kwa kivuli kua wanatumikia wananchi lakini hao wananchi wanawapa wanasiasa assurance ya kilakitu matibabu mpaka kula tena kwa maandishi na hata badala ya mda wa uongozi.
 
Back
Top Bottom