Kwa ile familia ilivyo kubwa ni gharama aki lile lita kubwa la kuweka kwenye dispensa kwa siku mawili yanaishaMaji sehemu kama Dsm ni bei ndogo sana hayo ya Uhai, Afya, Msafi ets
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata ukiukoboa?Haishauriwi unga kukaa muda mrefu, angalau ukae wiki tu maana mahindi yetu huwa yana madawa hivyo yatakiwa kuoshwa vizuri, yakaushwe afu yasagwe. Wengi hatukaushi hivyo ule unyevu nyevu husababisha unga kuharibika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwa ile familia ilivyo kubwa ni gharama aki lile lita kubwa la kuweka kwenye dispensa kwa siku mawili yanaisha
Labda yakikobolewa,Hata ukiukoboa?
Ndio maziwa yoyote ni sawa, tena mgando ni mazuri zaidi kwa ajili ya mmengenyoSiwez kunywa kila siku yananinepesha sana,maziwa ya mgando kila siku sawa
Mi nakoboaLabda yakikobolewa,
Leo Rais kaongelea kuhusu fortification au kuongeza vitamins, je waongeza?Mi nakoboa
Sijaona amesemaje?Leo Rais kaongelea kuhusu fortification au kuongeza vitamins, je waongeza?
aalf anakula mlo dhaifu alaf tunakuja kutafta dawa za nguvu wakat hata lishe tu ni duni[emoji23][emoji23]Kwa siku unakunywa soda 2 na energy drink 1? Ndugu badili huu mfumo wako wa maisha
Sawa ongeza iwe 20 for no reasonInategemea siku na siku...5000-10000 ila vingine vipo tayari
Siku zingine siachi kabisa mf Jmosi maana ni sabato
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama mimi kwenye pombe,hata nikijitahidi vipi kuikwepa naweza nikawahi kabisa kwenda nyumbani, ila nikiona hata tangazo tu la kinywaji nakurupuka mbio kuzitafuta bar zilipoNimejitahid sana kuacha soda lakin nimefeli, natembea adi na kopo la maji safi bariiid lakin pepo la soda linanikalia kooni linanifunga na miguu linanipeleka dulani. nahitaji THERAPY
Kila kitu ndani kipo, huwa Mimi naacha elfu kumi tu, japo kihalisia muda mwingine pia haitoshi kabisa, maana tupo wanne,Tushirikishane bajeti yako hasa nyakati hizi ambazo bidhaa muhimu kama nafaka zilivyopanda bei. Je, wewe kwenye familia yako bajeti kwa siku ni shilingi ngapi?
Maisha haya, mtu unajaza viroba vya nafaka ndani Kama una duka,Mmmm mi kwangu hua ipokama tanesco kunamda huoo kunamda holaaa.
Ukinikuta hasbui sehem nzuri natumia 6k hasbui usishangae kunikuta kesho niko uchochoroni na maandaz mawili na chai yakupuliza na kwangu hua ni normal tu na wenzangu washanizoea.
Maranyingi ukikuta vikukukuku sana kwangu ujue nishalipia kodi ya frem na ela ya term ijayo yawatoto nishaifikisha ata nusu na akina benk sio mbaya ila kama sivyo hua ni nafaka na majani wikinzima
Chamsingi hua nahakikisha vitu muhimu kama unga mchele sukari ngano mafuta and etc ni vyakutosha na ivyo ndo hua vinanipa presha so hua nikipata ela yangu kwenye kazi zangu naua kuanzia laki5+ kujaza store kwavitu vinavyotunzika ila baada ya apo siku nikiwa vzuri ni kuku wikinzima siku nikiwa vibaya namute wife anamaliza game fresh na tukikosa hua tunakula ivo ivo vilivyomo mdani uzuri wanangu ni nimakanda hua hawavungi.
Mimi nilifanikiwa kuacha kunywa soda kabisa,nilikuwa addicted na Coca-Cola, kwa siku nilikuwa napiga nne, ziliniletea madhara nikaziacha mpk leo mwaka sasaNimejitahid sana kuacha soda lakin nimefeli, natembea adi na kopo la maji safi bariiid lakin pepo la soda linanikalia kooni linanifunga na miguu linanipeleka dulani. nahitaji THERAPY
Mwigulu apitie huu uzi hili aongeze tozoKumbe watu ni matajiri ila sasa ukiwakuta kwenye nyuzi nyingine ni kujiliza hali ngumu kumbe watu humu mnatumia hadi 35K kwa siku.
Kwakweli,bia kuacha Ni mtihaniKama mimi kwenye pombe,hata nikijitahidi vipi kuikwepa naweza nikawahi kabisa kwenda nyumbani, ila nikiona hata tangazo tu la kinywaji nakurupuka mbio kuzitafuta bar zilipo
Maisha haya, mtu unajaza viroba vya nafaka ndani Kama una duka,
Ila kwa sisi wenye familia Ni muhimu kufanya hivyo