Nadhani ni harakati za kuokoa hayo yanatokea ,hawaongei yeye na kipa halafu ile shambulizi ya piga nikupige unadhani kuna mda hata wa kuwasiliana,mfano kipa angeutema au ukaingia nyavuni wachambuzi watasema kasimama na alikuwa kwenye nafasi.Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
HahahahaBakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!
Kocha ametuangusha Sana.
Gamondi atuachie team yetu[emoji1787]Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Gamondi atuachie team yetuBakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!
Kocha ametuangusha Sana.
Ujuaji wa bongo ni wa kijinga sana, huwezi kutulia ukimuachia kipa adake tu, ndio maana ya team kila mmoja anafurukuta ili kuokoaNisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Gamond hii match alisharidhika na sare ndio ngoja amuingize mauya kuongeza kukaba nondo akatoa boko ambalo kibabage angeweza kuclear ila akakabia kwa macho,wachezaji wa ki TZ uwa na mzubao flan hivi,hawako sharp!Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!
Kocha ametuangusha Sana.
una jicho kali sanaNisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Ndugu mbumbumbu, mpira ni mchezo wa wazi , ukicheza vizuri utasifiwa na ukiharibu uta ambiwa pia. Bakari ni mchezaji wa Yanga na Captain wa timu, Leo hakuwa na mechi mzuri.Acheni kumsingizia na kumpa Lawama beki bora mzawa wa kizazi hiki Bakari Nondo Mwamnyeto
Mlikufa 3 bila Algeria mwamnyeto akiwa benchi lawama mkazipeleka kwa kipa ila kwa mlivyo ile siku angekuwepo Mwamnyeto huenda lawama zote angezioga yeye maana ni wazi ana nyota ya bundi kwenu wana uto hamuoni mazuri yake yaani mechi nzima unamzungumzia kwa tutukio moja tena alilokosea mbn mazuri yake husemi kwenye hiyo mechi?
Msiwe mna laumu hakuna coach anapenda kufungwa huwezi jua fitness ya Mudathir ilikua vipi leo, by the way Mauya kakosea nini?Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!
Kocha ametuangusha Sana.
Kama Mudathir hakuwa fit asinge kua kwenye bench.Msiwe mna laumu hakuna coach anapenda kufungwa huwezi jua fitness ya Mudathir ilikua vipi leo, by the way Mauya kakosea nini?
Mudathiri huwa ana undezi wa kutaka kukaa na mpira akijiona ni Mfalme wa mpira "Pelle" akipoozesha kasi hata ambapo hapana ulazima na akishanyang'anywa tu mpira huwa haangaiki kabisa kukaba, pia ni mzito kurudi nyuma kuzuia counter attacks sawa na ujinga aliokuaga nao Aziz Ki msimu uliopita baada ya Mla ugali kwa sukari "FS" kuondoka Yanga SC.Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!
Kocha ametuangusha Sana.
Endelea kuteseka Mbumbumbu SC fan kwa kusubiria meli Airport....[emoji142]Gamondi atuachie team yetu[emoji1787]
ni mpira ndugu,ndio ulivyo,unakosea mnafungwaNisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.
Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.
Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Mwamnyeto asingeupiga ule mpira mechi ingeisha 0-0ni mpira ndugu,ndio ulivyo,unakosea mnafungwa
Hapo kwenye offensive ni uongo coz mudhatir hana jicho la kutengeneza shambulizi hta kidogoKama Mudathir hakuwa fit asinge kua kwenye bench.
Kocha ua anakosea kama wanavyo kosea wachezji.
Mudathir sio mchezaji wa kujaribu ila kwa hakika ata ku offer kitu uwanjani Tena vingi.
Offensive atakupa, Defensive atakupa, Battling ndio nyumbani, composure ipo Sasa kocha unahitaji Nini!!