Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

Bakari Nondo Mwamnyeto ana shida gani?

Deleted01

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
2,800
Reaction score
6,927
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.

Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.

Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.

Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
 
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Nadhani ni harakati za kuokoa hayo yanatokea ,hawaongei yeye na kipa halafu ile shambulizi ya piga nikupige unadhani kuna mda hata wa kuwasiliana,mfano kipa angeutema au ukaingia nyavuni wachambuzi watasema kasimama na alikuwa kwenye nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!

Kocha ametuangusha Sana.
 
Hahahaha
 
Acheni kumsingizia na kumpa Lawama beki bora mzawa wa kizazi hiki Bakari Nondo Mwamnyeto
Mlikufa 3 bila Algeria mwamnyeto akiwa benchi lawama mkazipeleka kwa kipa ila kwa mlivyo ile siku angekuwepo Mwamnyeto huenda lawama zote angezioga yeye maana ni wazi ana nyota ya bundi kwenu wana uto hamuoni mazuri yake yaani mechi nzima unamzungumzia kwa tutukio moja tena alilokosea mbn mazuri yake husemi kwenye hiyo mechi?
 
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
Gamondi atuachie team yetu[emoji1787]
 
Gamondi atuachie team yetu
 
Ujuaji wa bongo ni wa kijinga sana, huwezi kutulia ukimuachia kipa adake tu, ndio maana ya team kila mmoja anafurukuta ili kuokoa
 
Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!

Kocha ametuangusha Sana.
Gamond hii match alisharidhika na sare ndio ngoja amuingize mauya kuongeza kukaba nondo akatoa boko ambalo kibabage angeweza kuclear ila akakabia kwa macho,wachezaji wa ki TZ uwa na mzubao flan hivi,hawako sharp!
 
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa. Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake. Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
una jicho kali sana
 
Acheni kumsingizia na kumpa Lawama beki bora mzawa wa kizazi hiki Bakari Nondo Mwamnyeto
Mlikufa 3 bila Algeria mwamnyeto akiwa benchi lawama mkazipeleka kwa kipa ila kwa mlivyo ile siku angekuwepo Mwamnyeto huenda lawama zote angezioga yeye maana ni wazi ana nyota ya bundi kwenu wana uto hamuoni mazuri yake yaani mechi nzima unamzungumzia kwa tutukio moja tena alilokosea mbn mazuri yake husemi kwenye hiyo mechi?
Ndugu mbumbumbu, mpira ni mchezo wa wazi , ukicheza vizuri utasifiwa na ukiharibu uta ambiwa pia. Bakari ni mchezaji wa Yanga na Captain wa timu, Leo hakuwa na mechi mzuri.

Ukiachana na ilo la mawasiliano na kipa, Kuna mpira aliucheza na aka anguka na hakujua ulipo jamaa wa Ahly aliupitia na kutoa pasi iliyo mkuta mchezaji wa Ahly akiwa yeye na Diara bahati kipa akafanya save ya kibabe ikawa Kona.

Kwenye mipira ya Kona yeye ndiye mrefu kwenye ukuta wa Yanga, lakini katika mipira zaidi ya sita amefanikiwa kucheza mmoja.
Anahitajika kurudisha kujiamini haraka Sana kwakua soka analijua.
 
Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!

Kocha ametuangusha Sana.
Msiwe mna laumu hakuna coach anapenda kufungwa huwezi jua fitness ya Mudathir ilikua vipi leo, by the way Mauya kakosea nini?
 
Kama Mudathir hakuwa fit asinge kua kwenye bench.
Kocha ua anakosea kama wanavyo kosea wachezji.
Mudathir sio mchezaji wa kujaribu ila kwa hakika ata ku offer kitu uwanjani Tena vingi.

Offensive atakupa, Defensive atakupa, Battling ndio nyumbani, composure ipo Sasa kocha unahitaji Nini!!
 
Bakari alikosa utulivu, kipa ameshasema mwachie mpira tena kwenye marudio ya television.
Kipa anaonekana akitoa sauti ya kuachiwa mpira yeye kaucheza kwa kichwa na mpira haukufika popote Ina maana alikua na presha.
Yote kwa yote Gamond ndiye aliyefanya mechi kuwa Ngumu kipindi Cha pili.
Amechukua muda mrefu kufanya Sabu na Bado ame mwacha Mudathir nje bila Sabu yoyote ya maana.
Hivi unamwachaje Mudathir nje una mwingiza Zawadi ambaye ata kwenye ligi humtumii marakwamara.
Aziz alikua hastaili kuendelea kuwa uwanjani na Bado ana maliza mechi!!

Kocha ametuangusha Sana.
Mudathiri huwa ana undezi wa kutaka kukaa na mpira akijiona ni Mfalme wa mpira "Pelle" akipoozesha kasi hata ambapo hapana ulazima na akishanyang'anywa tu mpira huwa haangaiki kabisa kukaba, pia ni mzito kurudi nyuma kuzuia counter attacks sawa na ujinga aliokuaga nao Aziz Ki msimu uliopita baada ya Mla ugali kwa sukari "FS" kuondoka Yanga SC.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Gamondi atuachie team yetu[emoji1787]
Endelea kuteseka Mbumbumbu SC fan kwa kusubiria meli Airport....[emoji142]

Unadhani Makolokolo SC ina jeuri ya kufukuzisha Kocha bora wa Bingwa wenu TZ 2021/2022 & 2022/2023 sawa na Yanga SC iliyowafukuzisha Makocha watano wa Manyaunyau SC tangu 2019 [emoji848][emoji1732][emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.

Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.

Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.

Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?
ni mpira ndugu,ndio ulivyo,unakosea mnafungwa
 
Kama Mudathir hakuwa fit asinge kua kwenye bench.
Kocha ua anakosea kama wanavyo kosea wachezji.
Mudathir sio mchezaji wa kujaribu ila kwa hakika ata ku offer kitu uwanjani Tena vingi.

Offensive atakupa, Defensive atakupa, Battling ndio nyumbani, composure ipo Sasa kocha unahitaji Nini!!
Hapo kwenye offensive ni uongo coz mudhatir hana jicho la kutengeneza shambulizi hta kidogo
 
Licha ya ujinga wa Mwamnyeto na kocha nae anastahili lawama kwa kwa kuwa na mfumo mbovu tunapoenda kushambulia. Karibu mara zote tulipokuwa tukishambulia ilikuwa mshambuliaji 1 wa Yanga kwa 3 wa Ahly au 2 wa Yanga kwa 5 wa Ahly.

Kwa namna tulivyocheza nilikuwa sioni tunapatia wapi goli na kuchukua kwetu tahadhari sana bado haikusaidia kuwa na shape nzuri kwenye ulinzi kwa kuwa Ahly bado walitengeneza nafasi kadhaa nzuri kutuzidi.

Tukicheza na Medeama kama tulivyocheza leo na Ahly hatutopata ushindi.

Sare ya leo imefukia madhaifu ya kocha kuongelewa sana.
 
Back
Top Bottom