Nisiongee mengi, nadhani wote mnamfahamu.
Hivi karibuni, huyu mchezaji amekuwa na matukio mengi ya kutaka kuonyesha uwezo wake binafsi na kutia team hasara ya kufungwa.
Nadhani tunachokiona hata kocha anakiona na ndo maana mechi muhimu sana zisizomuhitaji kocha acheze na back 3 huwa lazima amuanzishe nje, mfano game ya simba. Hata goal la jana na al ahly ni yeye kasababisha kujifanya bingwa wa kupiga vichwa badala ya kumuachia Kipa adake.
Anyways, Tatizo la Bakari Nondo Mwamnyeto ni nini..?