Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.
Mytake:
Siku zote MoDewji anadai kuwa yeye ametangazwa na Forbes kuwa ni tajiri namba moja kijana Afrika, swali je analipa wapi kodi?
Kama analipa kodi sawasawa mbona hatujawahi kumukna akinyenyua mabega kubeba tuzo?
Hitimisho:
Huwezi kuwa Bilionea namba moja hata Dar es Salaam tu halafu unalialia kulipa Tsh 20 Bilion za 49% ya Simba Sports