Bakhresa ameshinda tuzo ya TRA ya mlipa kodi, basi MoDewji usitusumbue kuwa wewe ni namba 1 Afrika

Bakhresa alishinda Top Individual Taxpayer — si tuzo ya Bakhresa Group. Hivyo comparison sahihi ni Bakhresa binafsi vs Mo Dewji binafsi, si Bakhresa vs MeTL. Hujui Azam marine ni biashara binafsi ya mzee bakhresa na haipo chini ya Bakhresa Group.

MeTL ikilipa kodi nyingi haimaanishi Mo Dewji binafsi ndiye aliyelipa hizo kodi. Kampuni na shareholder wake ni taxpayers tofauti.
 
Mkuu acha uongo.....nimeingia kwenye website ya SSB Group of companies na imeilist Azam Marine Company Limited na Kilimanjaro Fast Ferries Limited chini ya Divisheni yake ya Marine Transport.....sasa wewe unakujaje kusema hapa kwamba ipo chini ya Bhakresa individually?
 
VIJANA MASIKINI WAPO BIZE NA TAKWIMU ZA UTAJIRI wa MATAJIRI.

Huwezi kumkuta mtoto mzee Backresa, Mo, Gharibu, Rostam na wengine kwenye mijadala ya hovyo namna hii.
 
Ndiyo mana ukitaka kujua utajiri wa Yogesh manek tafuta Mac group utaona kampuni zake zote
Hawa wanafamilia wameanza biashara miaka ya 1890s na inasemekena wameuza sana pembe za ndovu miaka hiyo ndo wakapata mitaji ya kuanzisha hivyo viwanda
 
Mimi namjua vizuri Manek na Mac Group yenye makampuni kama Exim Bank, Strategis Insurance, Chemi & Cotex, Palmolive, White Dent, Plastic industry, Iron and Steel etc
 
Hawa wanafamilia wameanza biashara miaka ya 1890s na inasemekena wameuza sana pembe za ndovu miaka hiyo ndo wakapata mitaji ya kuanzisha hivyo viwanda
Uzuri waliua tembo wakavuna pembe, wakaziuza kisha hela wakarudisha nchini kuwekeza kwenye viwanda.

Viwanda vinaajiri watanzania, vinatengeneza bidhaa na vinalipa kodi kwenye mfuko wa Taifa
 
VIJANA MASIKINI WAPO BIZE NA TAKWIMU ZA UTAJIRI wa MATAJIRI.

Huwezi kumkuta mtoto mzee Backresa, Mo, Gharibu, Rostam na wengine kwenye mijadala ya hovyo namna hii.
Na wewe bwege mbona unasoma majibidhano ya vijana maskini? Tukuweke kundi gani?

Njngekuona wa maana kama ungesoma na kupita tu, ungekuwa umetudharau. Ila kwa kujibu inaonekana umevutiwa
 
Wahindi hao mkuu wewe njoo na mifumo yetu ya kibantu isiyifanikiwa mzazi akishafariki hao wametuacha mbali mno kwenye mifumo yao ya kuendesha mali..
Ni kweli kabisa, angalia kinachotokea kwa IPP ya Reginald Mengi
IMG-20260819-WA0049.jpg
 
Ni kweli kabisa, angalia kinachotokea kwa IPP ya Reginald Mengi
View attachment 3653507
Daah yule mzee alikua kichwa sana huyo Mo kashuka hapo Mozambique juzi kaingia mkataba nao wa kiwanda hapo chenye thamani ya usd 250 milioni kitaajiri zaidi ya wafanyakazi 20,000...
Mo Dewji ndio kashuka hapo na ujumbe wake sio Mzee Gulam
 
Na wewe bwege mbona unasoma majibidhano ya vijana maskini? Tukuweke kundi gani?

Njngekuona wa maana kama ungesoma na kupita tu, ungekuwa umetudharau. Ila kwa kujibu inaonekana umevutiwa
Unauliza uniweke kundi gani wakati umeshaclasfy hapo juu! Mimi ni bwege masikini wa kutupwa, nakubaliana na wewe. Ila siwezipoteza muda wangu kujadili utajiri watu wengine.
 
Back
Top Bottom