Wazanzibar wanapeanaOndoa ukurutu kwenye ubknho wako utakuwa huru. Issue ya Wazanzibari inatokea wapi hapa? Investments kubwa, ajira nyingi za Bakhresa na kodi zinaingia huku bara
Utajiri wa mtu haupimwi kwa kodi ya TRA tu sababu kuna uwekezaji uliopo nje ya nchi ambao hauhusiani na TRAView attachment 3620353
Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.
Mytake:
Siku zote MoDewji anafai kuwa yeye ametangazwa na Forbes kuwa ni tajiri namba moja kijana Afrika, swali je analipa wapi kodi?
Kama analipa kodi sawasawa mbona hatujawahi kumukna akinyenyua mabega kubeba tuzo?
Hitimisho:
Huwezi kuwa Bilionea namba moja hata Dar es Salaam tu halafu unalialia kulipa Tsh 20 Bilion za 49% ya Simba Sports
Kuna habari huku mtaani kuwa utajiri wa huyu mzee ni kwa niaba ya familia ya Alhaj mzee Mwinyi.Maponjoro wengi ni wajanja wajanja.
Hili halina ukweliKuna habari huku mtaani kuwa utajiri wa huyu mzee ni kwa niaba ya familia ya Alhaj mzee Mwinyi.
Kuna tofauti ya Private Company, ambazo haijawa listed kwenye soko la hisa, DSE, kama SSB, ASAS, Shabiby, etc ambao umiliki wake ni wa binafsi naNina uhakika hapa wanamaanisha kodi za kampuni ya Azam ndizo kodi za Bakhresa kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa. Huwezi kuchukua corporate tax halafu useme ni kodi za mtu binafsi. Labda kama ingekuwa ni kodi(personal income) kutoka kipato binafsi cha Bakhresa kutoka kwenye faida inayotengeneza Azam.
Umenyoosha vizuri sana mkuuHili halina ukweli
SSBakhressa ameanza biashara miaka ya 70 kuelekea 80 wakati huo AH Mwinyi akiwa Balozi Egypt na hii ni baada ya kujiuzulu uwaziri wa Mambo ya Ndani
Wakati wa Mwl fununu tu za hayo mali zingetaifishwa na yeye Mwinyi kuwa mhujumu uchumi
Ameshahojiwa mara kadhaa hajawahi kufanya biashara wala kukopa
Wakongwe humu ndani watathibitisha hili
Dar alikuwa na hotel mbili tu Azam, Mkunguni St Kariakoo na Nawaz , Msimbazi St karibu na kituo cha Mwendokasi
Bakhressa aliwahi kuingia mgogoro na serikali ya ZnZ wakati wa Salmini Amour kwa tuhuma za kumpa support Maalim Seif na kusababishiwa hasara ya meli nzima iliyojaa ngano kumwagwa na Serikali kwamba ngano ilikuwa unfit for human consumption
Kumfidia ndiyo akapewa na kununua National Milling Corporation pale Buguruni na ile ya pale karibu na Toyota
Kipindi cha JPM walitaka kumshtaki kwamba halipi kodi, baadae wakagundua wamefanya kosa ndio JPM mwenyewe akampa eneo la hifadhi ya Saadan Bagamoyo kujenga kiwanda cha Bagamoyo Sugar
Wakati wa Dr Mwinyi akiwa Waziri Ulinzi na JKT kampuni zake walitaka tenda JW ya kutengeneza chakula cha wanajeshi wanaita dry ration, aliombwa rushwa ya kutoa commission akakataa na ile tenda wakampa kampuni ya China
Unaweza kuwa tajiri na usilipe Kodi kwa baadhi ya bidhaa na ndio zenye income kubwa.View attachment 3620353
Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.
Mytake:
Siku zote MoDewji anafai kuwa yeye ametangazwa na Forbes kuwa ni tajiri namba moja kijana Afrika, swali je analipa wapi kodi?
Kama analipa kodi sawasawa mbona hatujawahi kumukna akinyenyua mabega kubeba tuzo?
Hitimisho:
Huwezi kuwa Bilionea namba moja hata Dar es Salaam tu halafu unalialia kulipa Tsh 20 Bilion za 49% ya Simba Sports
Hiyo ni tanatalila tu, MoDewji hawezi kuwa tajiri namba 1 kijana Afrika. Bakhresa naye ana uwekezaji karibu nchi zote za East Africa kama Uganda, South Sudan, Rwanda, DRC, Zambia ma SA.Unaweza kuwa tajiri na usilipe Kodi kwa baadhi ya bidhaa na ndio zenye income kubwa.
Ndio maana ni rahisi Tajiri kutangaza bizaa anazolipia Kodi kubwa na ambazo hazilipiwi hatangazi.
Mfano mdogo ukitoa wafanyakazi wanakatwa payee sector inayochangia Kodi kubwa ni ya mafuta jiulize je hao matajiri wa mafuta wamekuwa namba ngapi.
Kingine mo anapiga ela kwenye ishu za export mazao nje ya nchi na kufanya exportation ya hayo mazao Kodi ni kama hamna, mfano Mkonge mo dunia inamfahamu yeye na kampuni yake ya melt ndio muuzaji mkubwa umewai kuangalia market cap ya hiyo sisal anayouza ni shingapi na anakatwa Kodi Shi ngapi.
Anyway kulipia Kodi kwa nchi zetu za Afrika si ujanja na ukiendekeza unafilisika
We **** kweliUzanzibari kwanza.
Kazi ni kipimo cha utu
Ndugu zetu ao wazoee wanachuki mnoo bila uvumilivu wa waislam nchi hii ingekua vitani ssaiv..Kwa ujumla ubaguzi ni kitu kibaya.
Kama Mo angekuwa mkristo wafia dini wangeleta udini na kusema kwakuwa mo ni mkristo ndiyo maana ulipa Kodi bora kapewa Bakhresa Musilam.
Narudia tena mo ana mbinu na mtaalamu wa biashara, anabiashara ambazo ndio UTI wake wa mgongo na zinampatia pesa nyingi na ziro tax payment rate mfano pitia hapaHiyo ni tanatalila tu, MoDewji hawezi kuwa tajiri namba 1 kijana Afrika. Bakhresa naye ana uwekezaji karibu nchi zote za East Africa kama Uganda, South Sudan, Rwanda, DRC, Zambia ma SA.
MoDewji ashindane na akina GSM tu
Kwani alisema yeye ni tajiri namba moja Afrika?View attachment 3620353
Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.
Mytake:
Siku zote MoDewji anafai kuwa yeye ametangazwa na Forbes kuwa ni tajiri namba moja kijana Afrika, swali je analipa wapi kodi?
Kama analipa kodi sawasawa mbona hatujawahi kumukna akinyenyua mabega kubeba tuzo?
Hitimisho:
Huwezi kuwa Bilionea namba moja hata Dar es Salaam tu halafu unalialia kulipa Tsh 20 Bilion za 49% ya Simba Sports
Na wewe upo, mbona hutokiUmasikini mbaya sana, tutafute hela wakuu. Hapa wanaume na pumbu zao kama vibuyu wapo wanachamba umbeya kwenye hela za watu