Nadhani shida yako mleta mada ipo hapa na si mambo ya kodi.Huwezi kuwa Bilionea namba moja hata Dar es Salaam tu halafu unalialia kulipa Tsh 20 Bilion za 49% ya Simba Sports
Bakhresa ni self made millionaireAnapenda sana kujitangaza kuwa ni tajiri wakati mali ni ya baba yake Mzee Gulham Dewji
🙏🤩Safi sana, Allah aendelee kumpatia uzima na afya huyu Mzee asiye na makuu
Ni kweli kwamba alianza Kwa kuuza uji na viazi Kariakoo?Bakhresa ni self made millionaire
Wewe bwege, mimi ni Simba damu kuanzia enzi za akina Kajole, Willy Mwaijibe, na Kibaden wakiipiga Yanga 6-0. Sijui kama ulikuwa umezaliwa enzi hizoMtu anayelipa kodi bila kusumbuliwa kwanza na TRA ni sawa na mtu mwenye moyo wa kutoa sadaka, havihusiani na kuwa namba moja Africa. Yawezekana kutolipa Kodi ndo kumemplelekea kuwa namba moja. Ukitumia logic utaelewa. Tatizo mnaleta ushabiki wa Simba na Yanga, Alikiba na Diamond kwenye kila kitu.
Mo ana Utajiri mwingi zaidi Nje ya NchiView attachment 3620353
Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.
Mytake:
Siku zote MoDewji anafai kuwa yeye ametangazwa na Forbes kuwa ni tajiri namba moja kijana Afrika, swali je analipa wapi kodi?
Kama analipa kodi sawasawa mbona hatujawahi kumukna akinyenyua mabega kubeba tuzo?
Hitimisho:
Huwezi kuwa Bilionea namba moja hata Dar es Salaam tu halafu unalialia kulipa Tsh 20 Bilion za 49% ya Simba Sports
Leo maajabu haujalaumu wasilamu kwenye post yaoduh, siamini hiyo orodha kama dola bilionea namba 1 east afrika rostam na makampuni yake siyo namba 1 kwenye kulipa kodi tanzagiza, najua Balesa analipa kodi lkn sikutegemea kama ni namba 1 kwa wafanyabishara binafsi ukichukulia biashara zake ndiyo ni nyingi lkn bado huwezi kuliganisha na oil companies ...
Kazi yake ya kwanza kabisa ilikuwa kushona viatu, ndipo kahamia kwenye kuuza maziwaNi kweli kwamba alianza Kwa kuuza uji na viazi Kariakoo?