Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Mkuu acha uongo.....nimeingia kwenye website ya SSB Group of companies na imeilist Azam Marine Company Limited na Kilimanjaro Fast Ferries Limited chini ya Divisheni yake ya Marine Transport.....sasa wewe unakujaje kusema hapa kwamba ipo chini ya Bhakresa individually?Bakhresa alishinda Top Individual Taxpayer — si tuzo ya Bakhresa Group. Hivyo comparison sahihi ni Bakhresa binafsi vs Mo Dewji binafsi, si Bakhresa vs MeTL. Hujui Azam marine ni biashara binafsi ya mzee bakhresa na haipo chini ya Bakhresa Group.
MeTL ikilipa kodi nyingi haimaanishi Mo Dewji binafsi ndiye aliyelipa hizo kodi. Kampuni na shareholder wake ni taxpayers tofauti.
Ndiyo mana ukitaka kujua utajiri wa Yogesh manek tafuta Mac group utaona kampuni zake zoteKwanini alikuwa hayumo? Ni nani anayeorodhesha utajiri wa wafanyabiashara wa Tanzania? Je unafahamu uwekezaji wote wa Yogesh Manek?
Hawa wanafamilia wameanza biashara miaka ya 1890s na inasemekena wameuza sana pembe za ndovu miaka hiyo ndo wakapata mitaji ya kuanzisha hivyo viwandaNdiyo mana ukitaka kujua utajiri wa Yogesh manek tafuta Mac group utaona kampuni zake zote
Mimi namjua vizuri Manek na Mac Group yenye makampuni kama Exim Bank, Strategis Insurance, Chemi & Cotex, Palmolive, White Dent, Plastic industry, Iron and Steel etcNdiyo mana ukitaka kujua utajiri wa Yogesh manek tafuta Mac group utaona kampuni zake zote
Uzuri waliua tembo wakavuna pembe, wakaziuza kisha hela wakarudisha nchini kuwekeza kwenye viwanda.Hawa wanafamilia wameanza biashara miaka ya 1890s na inasemekena wameuza sana pembe za ndovu miaka hiyo ndo wakapata mitaji ya kuanzisha hivyo viwanda
Na wewe bwege mbona unasoma majibidhano ya vijana maskini? Tukuweke kundi gani?VIJANA MASIKINI WAPO BIZE NA TAKWIMU ZA UTAJIRI wa MATAJIRI.
Huwezi kumkuta mtoto mzee Backresa, Mo, Gharibu, Rostam na wengine kwenye mijadala ya hovyo namna hii.
Ok nilidhani mali ni ya Mwakipesile kumbe ni ya Dewji ambae baba yake hapo hakuna tatizo ana akili nyingi sana.Anapenda sana kujitangaza kuwa ni tajiri wakati mali ni ya baba yake Mzee Gulham Dewji
Wahindi hao mkuu wewe njoo na mifumo yetu ya kibantu isiyofanikiwa mzazi akishafariki hao wametuacha mbali mno kwenye mifumo yao ya kuendesha mali..Mwakioesile soma kwa kuelewa. Mwenye maamuzi ya mwisho ya family business bado ni Mzee Gulam Dewji
Daah yule mzee alikua kichwa sana huyo Mo kashuka hapo Mozambique juzi kaingia mkataba nao wa kiwanda hapo chenye thamani ya usd 250 milioni kitaajiri zaidi ya wafanyakazi 20,000...Ni kweli kabisa, angalia kinachotokea kwa IPP ya Reginald Mengi
View attachment 3653507
Mo ndiye alibadilisha mwelekeo wa biashara ya familia hadi kuleta mafanikio makubwa.Anapenda sana kujitangaza kuwa ni tajiri wakati mali ni ya baba yake Mzee Gulham Dewji
Wanabaki kusema ya familia wakati za familia nyingi tunaona hali iliyopo sasa hivi huyo jamaa anapambana sana..Mo ndiye alibadilisha mwelekeo wa biashara ya familia hadi kuleta mafanikio makubwa.
Unauliza uniweke kundi gani wakati umeshaclasfy hapo juu! Mimi ni bwege masikini wa kutupwa, nakubaliana na wewe. Ila siwezipoteza muda wangu kujadili utajiri watu wengine.Na wewe bwege mbona unasoma majibidhano ya vijana maskini? Tukuweke kundi gani?
Njngekuona wa maana kama ungesoma na kupita tu, ungekuwa umetudharau. Ila kwa kujibu inaonekana umevutiwa