Bakhresa, Mo Dewji na GSM wajitosa kuwekeza kwenye SGR

Bakhresa ana mizigo mingi ya kusafirisha, ana uwezo wa kununua vichwa vyake vya treni na mabehewa yake, akawa analipia kutumia reli tu.

Mtu ambaye haaminiki na anaweza kuwa tapeli ni MoDewji tu, serikali imuangalie kwa makini, hata simba anataka kufanya utapeli.
 
Sio rahisi kama unavyowaza wewe mzee ila Kuna watu wanaitwa karabashi freight hao wapo tazara wanatumia reli mpk inasema kama wale wangechukua sgr ingekuwa jambo zuri maana tazara ukilitimba umezidi manina
 
Ni afadhali wangepangisha wanunue vuchwa na hizo train iwe kama kwenye barabara
 
Aisee inauma sana,Sisi watoto wetu walipe deni wao na watoto wao wanapewa kutumia reli Bure,
 
Luhaga
 
Huu NI upuuzi wa Hali ya juu hivi hii nchi viongozi wapo kwa ajiri ya kutengeneza maisha kwa ajiri ya familia zao Tu kupitia fedha za walipa Kodi aisee hii hapana wakuu! Mradi tujenge wenyewe tena fedha nyingine tunalipa mikopo Leo hii mradi serikali inataka kuugawa kwa GSM LAKE OIL JAMBO N.K watanzania tumerogwa na nani tuamke acheni chawa kusifia ujinga huu unaoendelea
 
Natamani nitukaneeeee labda moyo utatulia lakini kuna sauti inaniambia yana mwisho haya.
 
Same script, uwekezaji wa tanzania ni wa ajabu sana, yaani serikali inatumia matrilioni ya fedha za wananchi kujenga alafu mwisho wa siku wanapewa wahuni flani tu hivi bure kabisa kwa jina la uwekezaji. Haki ya nani kuna watu watakiona cha mtema kuni huyu mama akiondoka madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…