BAKWATA iingilie kati uvaaji wa wanawake wakiwa JKT

Kule ni jeshini ataenda na hijabu vitani?
 
NENO MIMI, YANGU, SISI, WALE LINAISHIA GETINI SOTE TUNAKUWA TIMU MOJA

Lazima kuondoa uraia mara unapofika getini ili ndani kuwa na vijana wakakamavu wenye nidhamu na uvumilivu kwa kuwazia ipo siku kama mlinzi wa taifa utakuwa mstari wa mbele kuitetea nchi kutapotokea aina yoyote ya kutishia heshima ya nchi kutoka kwa adui wa nje

 
Mada za kipuuzi kama hizi ndio zinfanya muda mwingine tuonekane wapuuzi


Huko jeshini hujalazimishwa kwenda, ukitaka kafuate masharti yao hutaki baki nyumbani

Kwenda jeshini sio lazima

Halafu muislamu anayejitambua hawezi kumpeleka binti yake jeshini na binti (muislamu ) anayejitambua hawezi kwenda jeshini
 
Mada yako ya hovyo sijawahi ona, jeshi liwe na udini sio
 
Huko Saudi Arabia hakuna mafunzo ya kijeshi? Kama yapo wanawake huvaa vipi?
 
Mkuu huku mtaani wapo wenye uhuru wao wengi tu lkn hijab hawavai na nywele wanazifanya wanavyotaka nguo ndo usiseme,sion km ina impact negative kwa huo muda anaokaa huko jkt.Hata hivyo huwez kuwa na mavazi hayo uko jkt kutokana na nature ya environment
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa mnooo
 
ACHA hizo!!

Jeshi halina Dini bali jeshi ni Dini yenyewe!

Ukienda kule unaishi Dini iitwayo jeshi!!

Hivyo TU! Bakwata wakae kimya kwanza ni tawi la katoliki!!
 
We ulienda kufanya nini huko kwa wanawake? utakuwa unawaza ngono muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…