🤣🤣Unalia nn?Sasa swali linakuja ni lini waislamu kwenye hizo nchi waliandamana kwa mambo ambayo siyo ya dini wao hakuna cha maana wanachojali zaidi ya dini yao tu, na ndio maana hata wakiandamana hakuna aliye tayari kuwasikiliza maana maandamano yao hayana msaada wowote kwa taifa, kwenye huu uzi kila mtu anasema waislamu hawawezi kuandamana sababu wataitwa magaidi ila ingekuwa msikiti umechomwa moto wote mngeandamana na msingefikiria hilo la kuitwa magaidi yani ninyi jamaa unafiki sijui mtaacha lini
Tulia usilie!Tabia zenu za kishari shari
Shekhe ponda alipopigwa bastola kule Morogoro ulikuwa bado unachunga kijijini kwenu.Nani aongee hivyo?
Siku zote lazima umuogope kichaaWapi tulilazimisha sheria na Mahakamani hata BAKWATA hawana ...Kiufupi waislamu wanaogopwa ila hao wavaa suti hamna cha maana wala hawawezi kuitisha serikali.
Hata TEC haifanyi Siasa ieleweke hivyo na BAKWATA ni Taasisi ya Kiimani sio Kikundi cha kigaidi kwamba wakiwa sehem ya kuongelea jamii basi kutakuwa na taharuki BIG NO.Bakwata ikiamua kuwa mbali na dola na kufanya siasa,hapatokalika hapa
Wewe jamaa kabla AMANI inaanza HAKI!Gentleman,
misimamo wa BAKWATA uko wazi na thabiti mno kwa waTanzania.
wanaiombea nchi yetu, viongozi wake na waTanzania wote amani. Full stop.
Unataka wasemeje zaidi ya nia na dhamira njema na ya kizalendo kiasi hicho?🐒
Unaongelea uchaguzi,katiba mpya nk halafu unasema hufanyi siasa,hujalewa kweli!?Hata TEC haifanyi Siasa ieleweke hivyo na BAKWATA ni Taasisi ya Kiimani sio Kikundi cha kigaidi kwamba wakiwa sehem ya kuongelea jamii basi kutakuwa na taharuki BIG NO.
Nashauri vijana wa Kitanzania mjitahidi kupekuwa details kabla hamja-post elewa asili na utamaduni wa BAKWATA na TEC na Taasisi zingine za Kiimani mfano Lutheran itasaidia kujenga hoja.
Kuna wakati mlikuwa mnataka mahakama za kadhiWapi tulilazimisha sheria na Mahakamani hata BAKWATA hawana ...Kiufupi waislamu wanaogopwa ila hao wavaa suti hamna cha maana wala hawawezi kuitisha serikali.
Kuna wakati niliona maandamano ya kidini eti kupinga ushoga!Sasa swali linakuja ni lini waislamu kwenye hizo nchi waliandamana kwa mambo ambayo siyo ya dini wao hakuna cha maana wanachojali zaidi ya dini yao tu, na ndio maana hata wakiandamana hakuna aliye tayari kuwasikiliza maana maandamano yao hayana msaada wowote kwa taifa, kwenye huu uzi kila mtu anasema waislamu hawawezi kuandamana sababu wanaogopa wataitwa magaidi ila ingekuwa msikiti umechomwa moto wote mngeandamana na msingefikiria hilo la kuitwa magaidi yani ninyi unafiki sijui mtaacha lini
Penye kugawana pesa za MOU pekee yenu, yakija pengine tushirikiane?Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Nyie hamtishi wala hamna kitu mnweza nyote waoga ...Huu ni ukweli mchungu.Siku zote lazima umuogope kichaa
Wewe humuogopi kichaa??
TEC inaongelea haki itakayoleta amani ya kudumu na kwa vile siasa ndio msingi wa maisha ya kila siku huwezi kukwepa kuongelea. KONDOO wa Kanisa ndio hao wanaenda kugombea na kusimamia Uchaguzi ndio hao wanaodai haki na amani.Unaongelea uchaguzi,katiba mpya nk halafu unasema hufanyi siasa,hujalewa kweli!?
Mahakama ya kadhi ilitakiwa ikidaiwa toka kwa BAKWATA..Kuna wakati mlikuwa mnataka mahakama za kadhi
Hoja ya kijinga kabisa hii. Na mbaya zaidi kuna watu wanaiunga mkono. Kwa Tanzania BAKWATA, TEC, ELCT na vingine vyote vina haki sawa. Kama unafikiri eti TEC ndio wajuzi zaidi, dogo umepotea!Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .
Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
TEC inaongelea haki itakayoleta amani ya kudumu na kwa vile siasa ndio msingi wa maisha ya kila siku huwezi kukwepa kuongelea. KONDOO wa Kanisa ndio hao wanaenda kugombea na kusimamia Uchaguzi ndio hao wanaodai haki na amani.Unaongelea uchaguzi,katiba mpya nk halafu unasema hufanyi siasa,hujalewa kweli!?
Walimkosoa Magufuri au Magufuri ni mvaa kobaziWote matawi,ila tawi moja hukereka rais akiwa siyo muamini wao
Maaskofu huongelea siasa kila siku, hawana tofauti na lissu,mnyika,lema,mufti na masheikh nao nao wakifanya hivyo sijui itakuaje,bado zitahesabika taasisi za dini au zitalazimika kubadili usajili!!?TEC inaongelea haki itakayoleta amani ya kudumu na kwa vile siasa ndio msingi wa maisha ya kila siku huwezi kukwepa kuongelea. KONDOO wa Kanisa ndio hao wanaenda kugombea na kusimamia Uchaguzi ndio hao wanaodai haki na amani.
Wewe nyumbani kwako watu wana madai kama mlezi wao ni wajibu kupaza SAUTI kwa sehem yako sio kukaa kimya ikitokea wanakufa waumini utamhubiria nani?
Na Ukristo unataka uonyeshe hasira pasipo na haki sio kukaa kimya. Nafikili hata Uislam unataka hivyo ndio maana hata uhuru wa Nchi hii kwa idadi walikuwa wengi (sina mstari). Wanachokifanya ni haki yao wasibezwe...
Naomba matamko ya TEC dhidi ya maguWalimkosoa Magufuri au Magufuri ni mvaa kobazi
Ccmu wameanza kutumia udini kujikinga dhidi ya tuhuma wanazotupiwa
Hii ni hatari maana wanauleta udini ambao ni hatari kwa taifa