Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa weledi mkubwa Maaskofu

Tusielekee huko katika propaganda za kidini za Mohamed Said na kuharibu uzi.
 
Tusielekee huko katika propaganda za kidini za Mohamed Said na kuharibu uzi.
Muslims mungu awarehemu sana,hasa hawa black Muslims bado wako nyuma sana ndo maana siku za ijumaa wanaenda misikiti ya waarabu kuomba vikilo viwili vitatu vya sukari na unga
 
Ishu sio biashara, ishu ni heshima na kusikilizwa, jengeni hivyo vyote afu huduma mtoe bila riba
Ukiwa na taasisi hizo zote chini ya mwavuli wako basi wewe ni mbadala wa serikali kabisa
Hivi imagine chochote kitokee kwa uongozi wa kiserikali kanisa lina rasilimali watu ya kutosha kuongoza nchi wakati wenzetu hapo hamjajenga hiyo capacity
 
Bakwata ni wasomi? Wanajimudu ki uchumi? Wanamtambua Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yetu?
 
Mungu wangu!!!, wale wana hekima na busara gani kuchambua mambo kwa weledi? Wakichambua watachambua kwa chuki, utengano na ubaguzi kwa kujihisi infriority complex
 
BAKWATA na waislamu wakifanya siasa wataitwa magaidi ,kiufupi hao maaskofu hawatishi ni kama wamekariri hayo maneno🀣🀣🀣akiongea mzee wa jihad hapo mpaka wazungu wataletwa kulinda amani.
Wapi Sheikh Ponda ( kwa sauti ya Langa)
 
Tusielekee huko katika propaganda za kidini za Mohamed Said na kuharibu uzi.
Na ndio maana nimekuambia haupo tayari kwa matokeo ya unacho ki wish.

Hawa mapadre, makatekista, mitume na manabii sio threat kwa dola ila siku masheikh wakiamua jambo lao niseme tu hujui unacho kiomba kitokee.

Acheni waislam waishi maisha yao bila shida
 
Lete bana
 
Wale wameathiriwa akili na mafundisho ya imani yao ya akhera. Mambo ya kidunia kwao si kipaumbele, udini umewajaa na kuwaharibu ufahamu wa mambo muhimu ya kidunia. Anzia ngazi ya chini kabisa huwezi kukuta sheikh hata wa msikiti wa mtaani/kijijini ni msomi wa mambo ya kidunia, ni watu wa ajabu sana wale hawajifunzi mambo ya kilimwengu, ni dini yao tu, wameharibu mpaka vizazi vyao havina uwezo mkubwa wa kuchambua mambo ya kidunia labda mwislam aasi imani hiyo ndiyo huwa na ufahamu wa mambo mengi muhimu ya kidunia
 
Naona unalia lia ,vitu vipo na wafanyabiashara wapo ..Kila madrasa hapa kwetu ila Day care ...Hatujawahi kujifananisha na nyie ila nyie mnapenda kujifananisha na sisi.

Wekeni hata maji kwanza wa wanaokuja kanisani ,muache kuwauzia chungwa 50k.
 
Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .

Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.
Wakishapewa ubwabwa wana poteza haki ya kukosoa.Kuna mpumbavu kisa ma askofu wameongea anataka serikali ivunje MOU na kanisa asujue hata yeye MOU ina msaidia
 
Lakini waislamu weupe,yaan arabs wana uelewa na wanasoma,lakini hawa vigagulo weusi,ujinga ni wao umaskini ni wao kutojielewa ni wao......
 

Hiyo njia labda wakaitumie somalia,Tanzania hawana nafasi hiyo
 
Bakwata jifunzeni kwa wenzenu jinsi wanavyochambua mambo kwa ufanisi mkubwa Maaskofu .

Juzi katika baraza la Eid mlikuwa mnaimba na kuongelea Amani Ila mnashindwa kugusia haki.

Bakwata wakipigwa pilau nyama tu, wanafanya dua mwaka mzima ya kumuombea mama!! Masheikh wa ajabu sana wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…