FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi umesoma uzi kweli? Una umri gani? Ni jisia gani wewe?Unataka wawe malaya wa mitaani?
Hv mfano mabint wa kike wasio endelea na masomo unataka mtaani wafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umesoma uzi kweli? Una umri gani? Ni jisia gani wewe?Unataka wawe malaya wa mitaani?
Hv mfano mabint wa kike wasio endelea na masomo unataka mtaani wafanyaje?
Unarudiarudia swali kwani haujui kusoma nilichokiandika au reasoning yako ni mbovu?Serikali yako inaruhusu ndoa na binti wa miaka 14 kwa kibali Cha mahakama,nimekuuliza kwa nini Binti anavunja ungo!?..maana yake nini!?..kwa nini hakuwa na mavuzi na manyonyo kabla!?
Huelewi nilichokiandika kwa sababu upo kiushabiki na hautaki kuelewa.Halafu,kupata mimba majumbani mwenu siyo uhalalisho wa kumuozesha mapema katika umri mdogo.Unamsukumia nani majukumu iwapo wewe na nyumba yako mmeshindwa kumlea mtoto kwa maadili mema na kumdhibiti?Hata unachoongea halieleweki
Hivi ww unasema huyo mtoto je umefanya tathmini mabinti wanaopata mimba na kuzaa majumbani wana umri gani?
Nini huelewi wwHivi umesoma uzi kweli? Una umri gani? Ni jisia gani wewe?
Nioze binti yako mkuu,kama ameshavunja ungo.Ndio maana ushoga unazidi vijana waoane kijana akishavunja ungo sio mtoto, msichana akishavunja ungo sio mtoto.
Kulingana na imani za dini hatuwezi kufuata matakwa ya ulimwengu bali imani zetu haijalishi nani hapendi kwani dini haipo kumfurahisha mtu yeyote yule.
Hata ukristo hauna umri wa kusema eti miaka 16 ni mtoto miaka 14 ni mtoto. Akishavunja ungo ni mtu mzima tayari . Hivyo ana haki ya kujiamulia , muhimu asilazimishwe.
Jibu lako haliakisi any reasoning,huenda ukijibu Tena ntaokota chenga kwenye pumba zakoJiiarudia swali kwani haujui kusoma nilichokiandika au reasoning yako ni mbovu?
'gharama ndogo' ni relative,ndogo kiasi gani!?..anaimudu!?...hapo serikali ifanye elimu ya sekondari ni lazima,ule mpango wao wa kufuta darasa la Saba na watoto waingie sekondari utaondoa hili tatizo,lakini kwa Sasa Kuna 14+ wengi sana mtaani,na watu wazima Kama wewe wanazini nao walau kwa kuwapaka mafuta kwa kuanziandio maana tunashauri seriklai iangalie namna ya kuwasaidia wapate ujuzi, mambo ya kutaka kuoa watoto acheni huu upuuzi. kama unampenda mpeleke VETA hata mtaani kuna mafundi wanaoweza kuwafundisha kw agharama ndogo kama ushonaji wa nguo, kudarizi, kutengeza bidhaa mbalimbali, kupika,kupamba,kuchomelea, kuskimu n.k
hahaha Mzee nitake radhi mm nakula na k jelly?'gharama ndogo' ni relative,ndogo kiasi gani!?..anaimudu!?...hapo serikali ifanye elimu ya sekondari ni lazima,ule mpango wao wa kufuta darasa la Saba na watoto waingie sekondari utaondoa hili tatizo,lakini kwa Sasa Kuna 14+ wengi sana mtaani,na watu wazima Kama wewe wanazini nao walau kwa kuwapaka mafuta kwa kuanzia
Nenda uoe mtoto wa miaka 12.Ubakaji umekubebea ubongo na kushindwa kuamua kwa usahihi.Jibu lako haliakisi any reasoning,huenda ukijibu Tena ntaokota chenga kwenye pumba zako
Wazungu washakubadilisha akili wewe. Sio kila kinacholetwa na wazungu ni kizuri. Kuna madhara makubwa mtoto wa kike akiachwa ahangaike kuliko akiolewa mapema. Hem angalia maadili ya dunia yalivyoporomoka. Mababu zetu walivyokuwa wakiwachunga wanawake hawakuwa wapumbavu. Walikuwa wanaelewa madhara ya mwanamke kwenye kuibadilisha jamii.Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake.
Kwani unadhani hawajui au hawaoni. Wanashuhudia kinachoendelea ila wanataka jamii iharibikiwe zaidi watoto wakike watange mitaani wawatumie kukidhi haja zao wawatelekeze. Mtoa mada asijifanye ana akili nyingi. Akili zenyewe za kushikiwa na wazungukutoka nje ya mstari ndio kunawafanya hata mletewe hizi sera za LGBTQ sasa.
Huku mitaani vimejazana vibinti vya under 15 mpaka 20yrs vikahaba vilivyokubuhu. Mbona hatuwasaidii sasa hawa mabinti kwakuwapa ajira au mitaji? mabinti yatima wa umri huo wamejazana mitaani mbona hatuwapi mitaji na ajira wala misaada ya kusoma.? ila kuolewa ndio tunaona shida?
Kwenye biblia ni mstari upi unasema alikua na miaka 12Aliyembebesha Maria mamawa Yesu mimba akiwa na miaka kumi na tatu tena bikra unadhani ni kichaa?
Joseph mume wake alikuwa na miaka 84,kuna cha kujifunza hapa?
Onyesha mstari wa biblia unaosema bikira mariamu aliolewa akiwa na miaka 12Mama wa yesu kristo alibeba mimba akiwa na miaka 12.
Acheni siasa kweny mambo ya msingi bint akisha balehe kifuatacho ni ndoa tu kama ataridhia yeye mwenywe kuolewa.
Binafsi siwezi kuowa bint wa abave 16 yrs.
Onyesha mstari wa biblia unaosema mariam alikua na miaka 12 alipobeba mimba kama sio uongo na uzushiAliyembebesha Maria mamawa Yesu mimba akiwa na miaka kumi na tatu tena bikra unadhani ni kichaa?
Joseph mume wake alikuwa na miaka 84,kuna cha kujifunza hapa?
Haswaa. Tunakiuka asili na kujifanya tuna usasa. Kumpa mwanamke cheo cha mwanamme, madhara yake ndo tunayaona sasa na bado tutayaona zaidi. Don't mess with natureKi ujumla maadili kwa sasa yameporomoka mno!!!udhibiti wa tabia haupo,haki sawa imefanya jamii kuwa kituko haswaa,mambo ni shagalabagala!...