DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Kwani unafikiir kuwasaidia ni kuwaozesha? wanawake walio kwenye ndoa nao ni malaya waliokubuhi. Tuje na sera moja tu ya kuwasaidia hawa mabint kama walishindwa kuendeela na masomo walazimishwe kusomea kitu chochote kitakachowapa ujuzi na utaalam, ili akili yao ikomae kukabiliana na mazingira.kutoka nje ya mstari ndio kunawafanya hata mletewe hizi sera za LGBTQ sasa.
Huku mitaani vimejazana vibinti vya under 15 mpaka 20yrs vikahaba vilivyokubuhu. Mbona hatuwasaidii sasa hawa mabinti kwakuwapa ajira au mitaji? mabinti yatima wa umri huo wamejazana mitaani mbona hatuwapi mitaji na ajira wala misaada ya kusoma.? ila kuolewa ndio tunaona shida?
Mwanamke ambaye amebebeshwa mimba akiwa na 12yrs ikitokea majanga mume hayupo atarudi mtaan na kuwa single mama malaya asiye na elimu