BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

kutoka nje ya mstari ndio kunawafanya hata mletewe hizi sera za LGBTQ sasa.

Huku mitaani vimejazana vibinti vya under 15 mpaka 20yrs vikahaba vilivyokubuhu. Mbona hatuwasaidii sasa hawa mabinti kwakuwapa ajira au mitaji? mabinti yatima wa umri huo wamejazana mitaani mbona hatuwapi mitaji na ajira wala misaada ya kusoma.? ila kuolewa ndio tunaona shida?
Kwani unafikiir kuwasaidia ni kuwaozesha? wanawake walio kwenye ndoa nao ni malaya waliokubuhi. Tuje na sera moja tu ya kuwasaidia hawa mabint kama walishindwa kuendeela na masomo walazimishwe kusomea kitu chochote kitakachowapa ujuzi na utaalam, ili akili yao ikomae kukabiliana na mazingira.

Mwanamke ambaye amebebeshwa mimba akiwa na 12yrs ikitokea majanga mume hayupo atarudi mtaan na kuwa single mama malaya asiye na elimu
 
binti kamaliza la saba, hasomi na hana wakumsomesha, amevunja ungo tayari amebaki anazagaa zagaa....kama jamii tumechukua hatua gani kusaidia hawa mabinti ambao wamejaa huko uswahilini na matokeo wanapigwa mimba na vijana n kuendeleza umasikini.
Ndio tuone namna ya kuwapa ujuzi na utaalm sio kuwaozesha
 
Hiii mada tukiweka tofauti zetu za Kidini mbali tunaweza kuja na mpango mzuri wa kuwasaidia hawa watoto wa kike. Ila tukiweka uislamu wetu na Ukristo mbele hatutapata suluhisho.

ila najau serikali yetu haiwezi Ruhusu huu upuuzi wa Bakwata
 
Mama wa yesu kristo alibeba mimba akiwa na miaka 12.

Acheni siasa kweny mambo ya msingi bint akisha balehe kifuatacho ni ndoa tu kama ataridhia yeye mwenywe kuolewa.

Binafsi siwezi kuowa bint wa abave 16 yrs.
Mama wa Yesu anaishi kwenye dunia ya leo? Na una uhakika kuwa alikuwa na miaka 12 ulikuwepo? Tunaongea kuhusu leo na si karne zilizopita. Nimezungumzia mazingira halisi yanayowapata watoto.
 
Kwani leo bint ana balehe akiwa na umri wa miaka mingapi?

Kwan karne zilizopita walikuwa wana balehe wakiwa na umri wa miaka mingap?
 
Unahisi suluhisho la umalaya ni kuwaozesha mapema? Vipi ndoa zikiwashinda hawatarudi kuwa malaya na mzigo wa watoto tena wasioweza kuwalea maana hawana elimu wala ujuzi wala kipato chochote.

Kuna elimu ya ufundi wapewe, au wakae wajifunze kujitegemea kwa namna yoyote hata biashara wakati wanasubiria kukoaa zaidi kimwili na kiakili ndoa isiwe suluhisho la mtot asiye soma kwa kuwa ndoa si ajira kwa mtoto wa kike wala mradi.

Kwanza wakati huo hana hata maamuzi ya mwanaume wa aina gani anamtaka, mwisho akikua anagundua sio mwanaume nayemtaka anaweza kuanza kutafuta wa aina anayotaka mje kumuita malaya kumbe alifanya maamuzi ambayo si yake wakati wa utoto.
Zamani hapakua na umalaya huu,pia ndoa hazikuwashinda wanawake WA zamani wasio na elimu,Bali wanawake WA Leo wenye elimu na kukombolewa ndiyo ndoa zinawashinda
 
Mama wa Yesu anaishi kwenye dunia ya leo? Na una uhakika kuwa alikuwa na miaka 12 ulikuwepo? Tunaongea kuhusu leo na si karne zilizopita. Nimezungumzia mazingira halisi yanayowapata watoto.
Binti ambaye hakufika miaka 13 alihesabika msichana(bikra) kwa wayahudi,so inaposemwa mamaake yesu alikua bikra maana yake alikua hajafikisha miaka 13, wanatumia neno 'almah' kuonesha bado hajafika 13 yrs
 
Kwani unafikiir kuwasaidia ni kuwaozesha? wanawake walio kwenye ndoa nao ni malaya waliokubuhi. Tuje na sera moja tu ya kuwasaidia hawa mabint kama walishindwa kuendeela na masomo walazimishwe kusomea kitu chochote kitakachowapa ujuzi na utaalam, ili akili yao ikomae kukabiliana na mazingira.

Mwanamke ambaye amebebeshwa mimba akiwa na 12yrs ikitokea majanga mume hayupo atarudi mtaan na kuwa single mama malaya asiye na elimu
Hicho atachosomea hakina gharama!?..atagharamia nani!?
 
Kuruhusu mtoto mdogo wa kike kuolewa,iwe na wa umri wake au mtu mzima/mzee,ni sawa na kumtupa ili kukwepa majukumu/wajibu wa kumlea.Si hivyo tu.Ni kuonesha ukatili na uvivu wa kufikiria.Mzazi/mlezi/ndugu wanaodiriki kuridhia hayo hawana tofauti na wenzao wanaowapeleka watoto wa kuanzia miaka mitatu(wachanga)kwenye shule za mabweni.Ni upotofu mkubwa sana.Ni udhalilishaji na kushabikia paedophilia/ugonjwa wa kupenda kufanya ngono na watoto wadogo.
 
Kuruhusu mtoto mdogo wa kike kuolewa ni sawa na kumtupa ili kukwepa majukumu/wajibu wa kumlea.Si hivyo tu.Ni kuonesha ukatili na uvivu wa kufikiria.Mzazi/mlezi/ndugu wanaodiriki kuridhia hayo hawana tofauti na wenzao wanaowapeleka watoto wa kuanzia miaka mitatu(wachanga)kwenye shule za mabweni.Ni upotofu mkubwa sana.Ni udhalilishaji na kushabikia paedophilia/ugonjwa wa kupenda kufanya ngono na watoto wadogo.
Mtoto Hana mavuzi na manyonyo yaliyodinda,hebu niambie kuvunja ungo ni nini!?..na Kwa nini anaota mavuzi!?
 
Mtoa post unaonekana ni mtu wa hovyo sijui kuna nini katika akili za hawa tunaowaita wasomi akili hawana hata kidogo na wanataka wote tusiwe na akili kama nyinyi zamani wasichana waliolewa kwa umri huo na tuliwasifu kuwa na maadili mazuri kuliko leo tunaosifu dunia ya wasomi na tuna jamii ya hovyo hovyo hovyo tena hovyo
 
Kadiri ya katiba yetu,mtoto mdogo ni binadamu ambaye hajafikisha umri wa miaka kumi na minane.Wewe hapo kijijini kwenu ukiona binti "manyonyo yamedinda na ukimuogesha ukamuona ana nywele makwapani" unajua ni mtu mzima?Umesoma elimu ya viumbe na kujua utofauti wa ukuaji wa binadamu?Punguza tamaa iliyoasisiwa na ujingaujinga.
 
Hivi ninyi watu mna matatizo gani kwenye mbongo zenu?Kama zamani walikosea ndiyo ihalalishe makosa tena?Hivi,wewe unaweza kuruhusu mtoto wako mwenye miaka 12 aolewe?Kuna tatizo sehemu.
 
Serikali yako inaruhusu ndoa na binti wa miaka 14 kwa kibali Cha mahakama,nimekuuliza kwa nini Binti anavunja ungo!?..maana yake nini!?..kwa nini hakuwa na mavuzi na manyonyo kabla!?
 
Kuruhusu mtoto mdogo wa kike kuolewa,iwe na wa umri wake au mtu mzima/mzee,ni sawa na kumtupa ili kukwepa majukumu/wajibu wa kumlea.Si hivyo tu.Ni kuonesha ukatili na uvivu wa kufikiria.Mzazi/mlezi/ndugu wanaodiriki kuridhia hayo hawana tofauti na wenzao wanaowapeleka watoto wa kuanzia miaka mitatu(wachanga)kwenye shule za mabweni.Ni upotofu mkubwa sana.Ni udhalilishaji na kushabikia paedophilia/ugonjwa wa kupenda kufanya ngono na watoto wadogo.
Hata unachoongea halieleweki
Hivi ninyi watu mna matatizo gani kwenye mbongo zenu?Kama zamani walikosea ndiyo ihalalishe makosa tena?Hivi,wewe unaweza kuruhusu mtoto wako mwenye miaka 12 aolewe?Kuna tatizo kwanza rekebisha kauli mtu aliy

Hivi ninyi watu mna matatizo gani kwenye mbongo zenu?Kama zamani walikosea ndiyo ihalalishe makosa tena?Hivi,wewe unaweza kuruhusu mtoto wako mwenye miaka 12 aolewe?Kuna tatizo sehemu.
Hivi ww unasema huyo mtoto je umefanya tathmini mabinti wanaopata mimba na kuzaa majumbani wana umri gani?
 
Hicho atachosomea hakina gharama!?..atagharamia nani!?
ndio maana tunashauri seriklai iangalie namna ya kuwasaidia wapate ujuzi, mambo ya kutaka kuoa watoto acheni huu upuuzi. kama unampenda mpeleke VETA hata mtaani kuna mafundi wanaoweza kuwafundisha kw agharama ndogo kama ushonaji wa nguo, kudarizi, kutengeza bidhaa mbalimbali, kupika,kupamba,kuchomelea, kuskimu n.k
 
Hivi ninyi watu mna matatizo gani kwenye mbongo zenu?Kama zamani walikosea ndiyo ihalalishe makosa tena?Hivi,wewe unaweza kuruhusu mtoto wako mwenye miaka 12 aolewe?Kuna tatizo sehemu.
Je wao ama sisi ndio tunaokosea ulisikia wapi mashoga kama sio hivi leo kwenye jamii za waafrika ulisikia wapi watu wasiojitambua kama sio leo kwenye jamii za waafrika jitambueni hivi leo tuna jamii ya kustaajabisha kwa sababu ya watu kama nyinyi
 
binti kamaliza la saba, hasomi na hana wakumsomesha, amevunja ungo tayari amebaki anazagaa zagaa....kama jamii tumechukua hatua gani kusaidia hawa mabinti ambao wamejaa huko uswahilini na matokeo wanapigwa mimba na vijana n kuendeleza umasikini.
Watakuambia ni ma house girl
 
Back
Top Bottom