johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alafu wanasema Ni Deen iliyokamilika?!Mkuu katika mambo magumu ambayo yalinichukua kufanya maamuzi ni suala la mwezi...
Walutheli mnakamilisha mfungo wa Ramadan?Leo ndio tunakamilisha siku ya 30 ya mfungo wa Ramadhan sisi Bakwata hivyo sikukuu ya Eid ni kesho Ijumaa.
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Ramadhan kareem!
Moderator baadhi ya nyuzi kama hizi ni upuuzi mtupu na hazina hadhi kuwepo hapa.. Sometimes ikibidi maonyo yatolewe kwa watu wa aina hii ili walau Forum yetu pendwa isije kupoteza heshima iliyojijengeaLeo ndio tunakamilisha siku ya 30 ya mfungo wa Ramadhan sisi Bakwata hivyo sikukuu ya Eid ni kesho Ijumaa.
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Ramadhan kareem!
Kama una tafsiri yako ya neno "kamilika" basi hiyo ni yako.Alafu wanasema Ni Deen iliyokamilika?!
Ahaa huwezi kupata zote,kuna zingine hukuwa nazo.Za miaka ilopita nnazo,
Tofautisha hayo unayoyasema na ninayokuambia mimi, maana mimi sijakunyuma wala kukukataza kuingia kundini ila hoja unataka tujadili kuhusu ikhtalafu za mwandamo wa mwezi ili hali wewe si katika sisi hiyo ni haki?
Inaonesha watu wamechoka kufunga[emoji916]View attachment 1782443
TakbiiirEid mubarak to all my brothers and sisters allover the world from palestine to kashmir ,from syria to mozambique ,may Allah accept from you and us !!!
Takabala llahu mina waminkumEid mubarak to all my brothers and sisters allover the world from palestine to kashmir ,from syria to mozambique ,may Allah accept from you and us !!!
ana udungu na TFFDah yani huyu mufti ananifanya nijisikie vabaya ,hivi ajisikii aibu kweli