Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo hekima ya Quran na Sunnah uliyojifunza kutoka kwa Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake ya kuwa mmoja wenu akiuliza swali (mfano hapo la kidini) yakupasa na yampaasa ajibiwe kama ulivyojibu?Mbona unauliza maswali ya kizandiki mzee ? Kwamba unakataa hili halipo ?
Soma surat al Ahzab, mambo mengine msiwe mnauliza sababu mnakuwa mnautukana Uislamu.
Umesema kweli mkuu! Hata Pengo alikua hatumiki!Nashukuru Mungu maaskofu wetu wanajitambua na hawatumiki
Huo ni mtazamo wako. Nayeye ni mtazamo wake. Kwa hiyo usimpangie cha kuandikaUnaelewa maana ya kupanga?
Huu ni mtazamo wangu na wewe toa wako, tatizo lipowapi?
Ulichokiandika ni sahihi isipokuwa umemithilisha pasipokiwa sahihi. Nilichouliza kwa mleta Uzi ni kupata uhakika kwa sababu zifuatazo:Sahihi kabisa, na Uislamu kadhalika unakataza kuwafanya watu wakudhanie vibaya. Unalijua hili ?
Hahah mawazo ya kwenye wanzuki hayaKwanini Allah kupitia mtume wake SAW asiisambaratishe BAKWATA kama haiendani na matakwa yake yeye Allahu Akbar?
Usome vizuri tena Uzi. Alichokiandika ni hatua za awali alizopitia, huko kote ameambiwa atoe pesa. Yeye akasema kama hali ndiyo ipo hivi mpaka kufikia kwa Qadhi kiasi kingi cha fedha kitatoka.......Kama sio utaratibu hao kadhi wanaomba pesa za nini?mtoa post ndy hayo anayoyakemea
Kigumu kipo wapi mkuu? Allah mwenyewe awajibike kwa hili.Hahah mawazo ya kwenye wanzuki haya
Hakuna mahala nilipoandika nimebuni, hakuna mahala nilipoandika uniwekee risiti ya malipo ya bank! Bali nilichokihitaji kutoka kwako ni yakini.Kwahiyo nimebuni hapo hata hizo gharama au nikuletee risiti ya malipo ya benk.. . .?
Upo chupa ya ngapi mkuu?Kigumu kipo wapi mkuu? Allah mwenyewe awajibike kwa hili.
Kama hali ipo hivyo si vyema kutupa shutuma. Ni vyema kuwa nasihi na kuwapa ushauri. Quran imetupa sifa ya tunaoneana huruma na Quran yenyewe inatutaka tuaidhiane kwa hekima.Kama suala lipo bakwata wilaya na wana bank account kwa ajili ya malipo, kwahiyo unataka ujifanye kipofu kumbe waona?
Usiwe ni mwenye ghadhabu.VIZURI NIMZUSHIE ILI IWEJE WAKATI MIMI MWENYEWE NIMEFUATILIA KESI IMEANZIA BAKWATA KATA MPAKA WILAYA.. . WEWE NDIYE UNAYEDHANI SHARI BAADA YA KUKUJIA HOJA ZILIZO WAZI...
Uzi nimeusoma na kuuelewa sana tuUsome vizuri tena Uzi. Alichokiandika ni hatua za awali alizopitia, huko kote ameambiwa atoe pesa. Yeye akasema kama hali ndiyo ipo hivi mpaka kufikia kwa Qadhi kiasi kingi cha fedha kitatoka.......
Soma kwanza aya uelewe kisha uulize maswali ya msingi,tatizo hata aya zenyewe hamsomi. Aya iko wazi, sasa nashangaa unavyouliza swali au kujenga hoja mufilisi namna hii.Hii ndiyo hekima ya Quran na Sunnah uliyojifunza kutoka kwa Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake ya kuwa mmoja wenu akiuliza swali (mfano hapo la kidini) yakupasa na yampaasa ajibiwe kama ulivyojibu?
Ikiwa kama mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani vipi kama akiumwa hospitalini statistiwa na akina nani? Madaktari wa kiume ndiyo waushike shike mwili wake?
Wapalestina walimuendea Sheikh mmoja(nimemsahau jina) humo humo Palestina na kumwambia "Ya Sheikh! Tumemuomba na tunamuomba Mungu atupatie msaada dhidi ya utawala wa Wazayuni lakini hali ndiyo mbaya zaidi."Bakwata ni wahuni tu. Waislam inatakiwa tujipange ili tupate taasisi ya waislam.
Haya! Kila la heri. Mapungufu ni yangu.Uzi nimeusoma na kuuelewa sana tu
Swali la Hammaz kwamba tuna uhakika huo ndio utaratibu rasmi tusilichukulie kiurahisi! Hata serikalini kwenye, hususani ngazi ya kijiji na mtaa, na hata huko kwenye kata, wananchi huwa wanatozwa tozo hizi na zile lakini kimsingi sio utaratibu rasmi. Kwa mfano ukienda kutaka barua ya utambulisho, utaambiwa utowe kiwango fulani cha pesa lakini hilo suala halipo kisheria. Kuna wakati nilishtuka kidogo nilipoambiwa hata zile 10% wanazotaka mathalani unaponunua kiwanja, na wenyewe ule wala sio utaratibu rasmi. Ingawaje sina uhakika nalo sana hilo jambo lakini nakumbuka siku tumeenda kununua kiwanja Kigamboni, tukaanza ku-bargain hiyo 10% hadi tukaafikiana. Kuwauliza stakabadhi, jamaa hawana nasi tukagoma kutoa na hawakutufanya chochote. So, kwamba huo ndo utaratibu sahihi ama hapana lisiwe jambo la kupuuzwa manake kwenye taifa hili lolote lawezekana.Kama suala lipo bakwata wilaya na wana bank account kwa ajili ya malipo, kwahiyo unataka ujifanye kipofu kumbe waona?