BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Hujielewi wewe wala huelewi hata unachokisimamia,

Wewe ni wakuonewa huruma tu,umepotea njia ila ndio kwanza unaongeza na Spidi!
Tukianza kuwatwanga mawe mashoga itakuwa ni unafiki mtupu, tutakuwa majuha wa karne, tunapambana na matokeo na kuacha chanzo chake
 
Wazee wa kukurupuka,sasa wakiandamana na mabango ndio ushoga utaisha?ongezeko la ushoga ni kutokana na wao kufeli kuipatia maadili jamii,kwanza wao kati yao wafiraji na wafirwaji wamejazana,kinachofanyika kwente hayo maandamano ni unafiki mtupu.
 
Tukianza kuwatwanga mawe mashoga itakuwa ni unafiki mtupu, tutakuwa majuha wa karne, tunapambana na matokeo na kuacha chanzo chake

Uisilamu haukubaliani hata kidogo na suala la ushoga, je! Upande wenu? Na je washaandamana kuhusu suala hili!?
 
Approach inaweza isiwe sahihi na yenye matokeo ila still watalindwa na dhamira ya kukemea ushoga,kila silaha inayoonekana inafaa na itumike,wao kwa nafasi yao na mazingira wameona hawana cha kufanya zaidi ya kiandamana,ww kwa nafasi yako kama unaweza watandika bakora watandike tu kama mm hatua ninayopanga kuchukua na kiwashawishi wenzangu ni kususia bar/club zote zinazohudhuliwa na mashoga,mti kwnye kiwanja chake cha atareh kikiwa kinajaza machoko basi wanywe wnyewe,
 
Back
Top Bottom