HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
- Thread starter
- #241
Nimemuuliza aliolewa na miaka mingapi hajajibu?FaizaFoxy ana maoni gani ?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuuliza aliolewa na miaka mingapi hajajibu?FaizaFoxy ana maoni gani ?
Nenda Mtwara, Lindi, SongeaMiaka 14 bado ni mtoto anayehitaji uangalizi wa wazazi, kumfanya awe mke ni ukatili dhidi ya watoto.
Ko binam unataka maandiko yabadilishwe?!na hizo sheria zote zimewekwa kumfaidisha mwanaume…zoooote yani zooooote. Mara wake wanne, mara mbinguni watapewa mabikra 1000 yani zote zina favor mwanaume
Huko ni kumtesa na kumbagua mtoto wa kike, mtoto wa miaka 14 kumbebesha majukumu mazito ya kuwa Mama huku mtoto wa kiume akiendelea na shule.Angeolewa umri huo 14 angekuwa ashaachika maana talaka ni nyingi mno na akiachika atarudi na watoto nyumban siku hizi wanaume wapo wapi wenye nia nzuri
Umewahi olewa?Ndoa zenyewe asilimia kubwa chungu kweli
GTYAANI NAMUANGALIA HAPA HUYU BINTI YANGU WA FORM ONE ETI NDIO AOLEWE!!!!!
KUNA WATU WASHENZI KWELI KWELI.
WE FaizaFoxy UKO RADHI KUMUOZA BINTI YAKO AKAFOKONYOLEWE NA WAHUNI AU UNAMTETEA MUDI TU HAPA?
MAANA MUDI ALIKUWA BINGWA WA KUBAKA VITOTO VICHANGA.
badilisha fikra bro, akili za kuambiwa changanya na zakoKo binam unataka maandiko yabadilishwe?!
sijui kwa nini watu wanahamisha mada hapa ishu ni binti kuolewa na miaka 14 huyu anakuja na point ya mbona waloolewa ukubwani ndoa zimewashinda watu wanachekesha sanakuna sababu nyingi zinazosababisha, lakini hilo halihalalisha mtoto wa 14 years kuolewa
Wanawahi bikraHawa jamaa waroho wa nyuchi tu
Wao wanafikiria kuoa tu
Ova
Bibi shikamoo, uliolewa na umri gani?Tena kwa dunia ya leo hata akivunja ungo 12, aolewe tu.
Maana wanawake wengi kuliko wanaume, wanaume wenyewe ushoga mwingi wanataka kuolewa wao.
Waliobaki ndiyo hivyo, vumbi la kongo, supu ya pweza, khaa! inahusu nini kutiana shombo.
Sababu gani tena haaaaa ,ww si ndo umesema kuwa akiolewa mdogo ndoa itamshinda sasa mbona nyinyi zinawashinda pamoja na ugume gume wenu?kuna sababu nyingi zinazosababisha, lakini hilo halihalalisha mtoto wa 14 years kuolewa
ujinga na umasikini ni kitu kibaya sana, wajinga ni wengi hii nchisijui kwa nini watu wanahamisha mada hapa ishu ni binti kuolewa na miaka 14 huyu anakuja na point ya mbona waloolewa ukubwani ndoa zimewashinda watu wanachekesha sana
kuna mwingine kanijibu kwa iyo hao mabinti wanavyoliwa mitaani na kupachikwa mimba na magonjwa ni sawa?imagine tunaongelewa suala la binti mdogo kulewa kwa sio sawa mtu analeta hoja ya wanaofanya mapenzi katika umri huo bila kubeba idadi kubwa ya watoto wa umri huo ambao hawako katika adhia hiyo kwa sababu binti wa miaka 14 bado ni mdogo sana yani ni aibu hata kumzungumzia kwenye suala la ndoa hata kisayansi viungo vya mwili wako havijakomaa sawasawa
tupuuze
AiseeeeTena wa leo ndio wakubwa zaidi, wanayajuwa mambo kuliko bibi zao.
Chunguza ujionee.
Nakuunga mkono kabisa una mjukuu nije fata?Wanaume wenyewe hakuna, mmoja katika ishirini. Akitokea ndiye yeye huyo. Mnataka kuwafuga watoto wa kike wawe Lesbians? Tena iwekwe sheria, aolewe na aendelee kusoma.
... niki-comment huu uzi naweza kuchafua hali ya hewa! Itoshe tu kusema ni ubakaji unaotaka kuhalalishwa kwa visingizio visivyo na mashiko!
Sio yeye ni deen Yake inayo msukuma...Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.
Aisee...inasikitisha sana.
Wakati TEC Wanapendekeza Viongozi waondolewe Kinga ya kutoshitakiwa, yaani wote tuwe Sawa Mbele ya sheria, Hawa wenzetu wanapendekeza watoto wa miaka 11, 12 ,13 ,14 waruhusiwe kuolewa, kupanga ni kuchagua ......
Wakati watoto umri huo ndo wabasumbua waume za watu kibamama wanalia usiku na mchana. Kakibeba mumeo ndani hapaelewekiSikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.
Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe
Unapingana na dini?Nyie kubalini watoto wenu waolewe katika umri huo alafu baadaye mje mseme mnataka haki sawa na Wanaume ambao wakati watoto zenu wanaolewa wao wanakuwa wanaendelea kubukua kitabu kuzitafuta Masters degree na PhD.
Na mzazi atakayekubali Binti yake wa miaka 14 kuolewa atakuwa Lofa mkubwa [emoji35]
Aisee weee kweli hilo la Muntazir?? Dah, nimesikitaka sana!Kulikua na kesi pale Al Muntazir ambapo ililalamikiwa kuwa waalimu wanawaelekeza watoto wa kike kuingiliwa kinyume cha maumbile na wenzi wao pale inapotokea wapo kwenye hedhi.
Ule ushenzi ulipigiwa kelele na waislamu wengi, ilipelekea hadi Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako kuingilia na issue ikazimwa mazima.
Sasa hili tena la safari hii la BAKWATA linaleta ukakasi sana. Walipaswa walipigie ukimywa tu, sababu kulingana na mazingira, nyakati, utamaduni, science and technology kuna mambo lazima yajifie natural death. hata kama yapo kwenye Maandiko Matakatifu.
Haiwezekani kulazimisha kusafiri umbali mrefu kwa kutumia punda katika zama hizi kisa mitume na manabii walisafiri kwa punda.
Haiwezekani kulazimisha kusafiri kwa Ngalawa, kisa mitume na manabii hawakutumia boti au mitumbwi au meli zenye engine