BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

I think the best solution ni kumfanye mtoto aendelee kubaki shuleni,

Itamruhusu kupevuka zaidi kiakili na kimwili, na solution litapatikana automatically.
 
Ni wapi pamesemwa kwamba waendelee kungonoka? Such a mere reasoning to justify child marriage.
Hizi ni sheria za kishenzi kwa watoto wa maskini na kuendelea kuzalisha taifa la watu mizigo wasio na tija kwa taifa.
Waislam wengi wamekosoa huu upuuzi.
Muislam anayeunga huu ujinga namuona ni mshenzi tu.
Kulikua na kesi pale Al Muntazir ambapo ililalamikiwa kuwa waalimu wanawaelekeza watoto wa kike kuingiliwa kinyume cha maumbile na wenzi wao pale inapotokea wapo kwenye hedhi.
Ule ushenzi ulipigiwa kelele na waislamu wengi, ilipelekea hadi Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako kuingilia na issue ikazimwa mazima.
Sasa hili tena la safari hii la BAKWATA linaleta ukakasi sana. Walipaswa walipigie ukimywa tu, sababu kulingana na mazingira, nyakati, utamaduni, science and technology kuna mambo lazima yajifie natural death. hata kama yapo kwenye Maandiko Matakatifu.

Haiwezekani kulazimisha kusafiri umbali mrefu kwa kutumia punda katika zama hizi kisa mitume na manabii walisafiri kwa punda.
Haiwezekani kulazimisha kusafiri kwa Ngalawa, kisa mitume na manabii hawakutumia boti au mitumbwi au meli zenye engine
 
Hata kama hajaenda sekondari bado kwa umri ule anakuwa treated kama mwanafunzi ma sio mwananchi

Na ndio maana serikali inajaribu kuweka mfumo rahisi wa kuwapunguzia vikwazo vya ufaulu kuwafanya watoto waendelee kuwapo shuleni
Sheria ya Sasa ya serikali ndiyo inayosema hao ambao hawako shule na Wana 14 yrs wanaweza olewa kwa usinamizi wa mahakama
 
hayo umeandika wewe hapa sasa hivi naona unahamisha mpira tatizo hujaelewa sijui kwa nini umekimbilia kujibu ujinga
Nimekuuliza hivyo kwa sababu hao mnao kataa wasiolewe kisa ni wadogo huku mitaani mnafanya nao ngono na kuwapa mimba na magonjwa na kuwatelekeza.
 
Binti akisha vunja ungo huyo tiyari anakuwa amesha kuwa mtu mzima na mwili wake unaanza kuwa na matamanio.

Utanzuia asiolewe lakini atakuwa analiwa na wahuni huko mtaani mwisho watampa mimba na wamkimbie sasa hapo utakuwa umesaidia nn?
Na hii sheria haipo Tz tu nchi nyingi zinaruhusu binti wa miaka 14 kuolewa iwapo atataka yy kwa lidhaa yake.

Kuna mabinti hapa nyumban nimewauliza mmekua sasa muolewe mmoja ana 13,mwingine 15 wanenishangaa wakaniambia hatutakii
 
Bro binti yako wa miaka 14 akisema anataka kuolewa, utamkubalia??
Kama hasomi na ana umbo kubwa mm nitamrusu tu .
Unaweza ukamkatalia na bado akaenda kuliwa na wahuni huko mitaani akakuletea mimba nyumbani na hautakuwa na cha kumfanya maana ww ndo ulikataza asiolewe.
 
Nimekuuliza hivyo kwa sababu hao mnao kataa wasiolewe kisa ni wadogo huku mitaani mnafanya nao ngono na kuwapa mimba na magonjwa na kuwatelekeza.
kuanzia kuolewa mpaka huo uchafu mwingine kwa binti wa miaka 14 ni ujinga narudia tena upuuuzwe

kigezo cha kutumia hao wachache wanaopitia kadhia hiyo ndio muichukue na kiweka kwenye haki jinai is wrong na kutaka kujifeva nyie wenyewe kwa tamaa zenu tena itakuwa ni tamaa za mashehe hizo kutaka kula vibinti vidogo muogopeni Mungu
 
Mm nadhani wameongelea kwa binti ambaye hasomi mfano binti umempeleka shule akafika la 7 akafeli.
Kwa maoni yangu binti wa umri huo bado anahitaji malezi ya Wazazi.

Kwahiyo hata kama amefeli vyema apelekwe hata Elimu ya Ufundi (Veta) wakati akiendelea kukua kimwili na kiakili
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.

Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia Jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini amesema sheria ya ndoa ibaki vilevile kutokana na ukinzani uliopo kati ya sheria ndoa na sheria ya mtoto pamoja na imani za dini.

“Sisi Waislamu tunaamini mtoto wa kike akishavunja ungo anaruhusiwa kuolewa, nami naruhusiwa kuoa haijalishi nina miaka 10, 12 au 13,” ameeleza Fatihu.

Ameongeza kuwa sheria ya mtoto inaeleza kuwa mtu yeyote aliye chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba sheria ya ndoa imeruhusu mtoto kuanzia umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mahakama ambapo itaangalia vitu vingi ili kuruhusu ndoa hiyo ikiwa ni pamoja na afya ya mtoto, mila na tamaduni za jamii husika.

Mjumbe asiuawe

=======

BAKWATA imependekeza kutoifanyia marekebisho Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 inayoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 15 au miaka 14 kwa kibali cha wazazi.

Mtazamo huo unakinzana na maoni ya wanaharakati wa haki za watoto na wanawake ambao wamekuwa wakipinga utekelezaji wa sheria hiyo kuwa inakinzana na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 inayomtambua mtoto hadi umri wa 18.

Julai 8, 2016 Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikikubali kwamba vifungu hivi vya sheria ya ndoa vinapingana na Katiba kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume.

Hukumu hiyo ilitolewa kufuatia kesi iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi aliyekuwa akipinga kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 14 kwa kibali cha mahakama, na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.

Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.

“Simaanishi kila mtoto wa umri huo aruhusiwe kuolewa ila mahakama itajiridhisha afya yake, mazingira na mengineyo,” alisema mwanasheria wa baraza hilo, Hassan Fatiu.

Chanzo: Mwananchi
Hapana shezea dini ya mwenyaazi Mungu🤣🤩
 
afya za mwili zinaeza kuwa salama lakini sio afya ya akili…kumpa mtoto mdogo majukumu makubwa ni kumtesa kimwili na kiakili
Mbona bibi na mama zako waliweza ?
 
HUU NI UJINGA UMEANDIKA.

KUVUNJA UNGO SIO TIKETI YA MOJA KWA MOJA YA KUOLEWA.

KUNA MASWALA KADHAA PIA YA KUYAZINGATIA KAMA VILE UKOMAVU WA AKILI, UKOMAVU WA VIA VYA UZAZI, PAMOJA NA MADHARA YA KIAFYA KAMA FISTULA NA MATATIZO KATIKA KUJIFUNGUA IKIWEMO UPASUAJI NK.

HUU UJINGA ALIOWALISHA YULE MBAKAJI MUDI UNAWAHARIBU UBONGO?

YOU DON'T SEEM TO HAVE A RATIONAL MIND.
Acheni kuwala sasa sio kuwakataza kuolewa alafu huku mitaani mnawarubuni na kuwala kwa chipusi mayai mwisho mnawapa mimba na kuwatelekeza mabinti wa watu.
 
Back
Top Bottom