BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.
Uwezo wenu wa kusoma/sikiliza ni finyu/duni,kasome Tena hiyo ripoti ya bakwata
wewe umesoma hapo????? Embu nieleweshe
 
it’s too sad kwakweli, hajafikiria hata huyo mtoto wa miaka 14 atazaa vipi mtoto
Sure. Kuna wapuuzi atakwambia anaolewa ila kuingiliwa baadaye. Hivi kimantiki kweli kabisa wanaume tulivyoumbwa na matamanio uoe binti umuache eti utakuja kumuingilia baadaye? Danganya toto ya wapi hii. Ni upuuzi wa hali ya juu. Risk factors ni nyingi. Na hata ukitazama mtoto wa miaka 14 anatoa wapi free-will ya kutaka kuoelewa na ampendaye zaidi ya kulazimishwa na wazazi au kurubuniwa na muoaji.

Jamii za zamani ni kweli mabinti waliolewa wadogo kutokana na mfumo wa maisha ya zama za zamani kutomjumuisha mwanamke katika elimu na mambo mengine zaidi ya kubaki na jukumu la ulezi na ndoa.

Zama zimebadilika na wapumbavu wanataka tuendelee kuishi kama tuko mwaka 1120. Halafu baadaye yaanze malalamiko.
 
Nyie kubalini watoto wenu waolewe katika umri huo alafu baadaye mje mseme mnataka haki sawa na Wanaume ambao wakati watoto zenu wanaolewa wao wanakuwa wanaendelea kubukua kitabu kuzitafuta Masters degree na PhD.

Na mzazi atakayekubali Binti yake wa miaka 14 kuolewa atakuwa Lofa mkubwa [emoji35]
Mm nadhani wameongelea kwa binti ambaye hasomi mfano binti umempeleka shule akafika la 7 akafeli.
 
Niliku namjibu bibi Faiza amesema ikiwezekana hata miaka 12 waolewe, hata huvyo 14 bado ni watoto na hawajamaliza hata masomo ya sekondari
Kwani watoto wote huwa wanasoma sekondari?
 
Sure. Kuna wapuuzi atakwambia anaolewa ila kuingiliwa baadaye. Hivi kimantiki kweli kabisa wanaume tulivyoumbwa na matamanio uoe binti umuache eti utakuja kumuingilia baadaye? Danganya toto ya wapi hii. Ni upuuzi wa hali ya juu. Risk factors ni nyingi.

Jamii za zamani ni kweli mabinti waliolewa wadogo kutokana na mfumo wa maisha ya zama za zamani kutomjumuisha mwanamke katika elimu na mambo mengine zaidi ya kubaki na jukumu la ulezi na ndoa.

Zama zimebadilika na wapumbavu wanataka tuendelee kuishi kama tuko mwaka 1120. Halafu baadaye yaanze malalamiko.
na hiyo zamani vifo vilivotokana na uzazi vilikua vingi…sasa ndo wanataka waturudishe huko. Sijui wa nafikiria kwa kutumia nini
 
Waafrika wachache wajinga wanazidi kuionesha dunia na kuuaminisha ujinga wao na upumbavu kwa kujificha nyuma ya dini kwamba MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE NA KWENYE MAWAZO MATATU MOJAWAPO NI NGONO TU NDO TUNAWAZAGA.

Hatukuona la maana mpaka kuhalalisha mtoto wa miaka kumi na minne ("14") aolewe?! 😳

Duhh! 😔🙌🏾
 
Faida pekee ya mtoto wa 14 yrs kuolewa ni MWANAUME AFAIDI TUNDA LIKIWA BADO CHANGA.

Kama naliona dushe la huyo mwanasheria lilivyosimama wkt anashauri hayo huku akiwaza utamu atakaoupata kwa miaka michache huku akipuuzia madhara makubwa na ya kudumu yanayokwenda kumpata msichana huyo miaka michache ijayo.

Binti huyo akifikisha miaka 20 mumewe ustaadh atakua keshamchoka,anamuona mzee na atamtaliki akiwa na urithi wa vitoto na labda FISTULA huku akiwa hana elimu wala ujuzi wowote zaid ya ule wa kupika na kumkatia viuno ustaadh.

Wakati huo ustaadh keshaoa 14 yrs pussy nyingine hataki kusikia cha watoto wanaumwa wala wanahitaji daftari.

HUU NI UKATILI UPINGWE
KWA KWELI.
 
Kila kitu kiangaliwe mazingira wengine wana miaka13 umbo kubwa ataki kusoma na ameanza balaa kitaani, katokea MTU wa kumuoa na mwenyewe kakubali je? Apo vipi. Wengine umri uo bado watoto kabisa ata kuvunja bado .
Kila kitu kifanyike kikiwa tayari.
Afanyiwe counselling na atafutiwe mafunzo mengine ya stadi za kazi na maisha. Sijui kwanini tunayatazama mambo kirejareja bila upana wake.
Wewe hapo ulipo utaafiki mtoto wako au mdogo wako aolewe katika umri huo?
 
Faida pekee ya mtoto wa 14 yrs kuolewa ni MWANAUME AFAIDI TUNDA LIKIWA BADO CHANGA.

Kama naliona dushe la huyo mwanasheria lilivyosimama wkt anashauri hayo huku akiwaza utamu atakaoupata kwa miaka michache huku akipuuzia madhara makubwa na ya kudumu yanayokwenda kumpata msichana huyo miaka michache ijayo.

Binti huyo akifikisha miaka 20 mumewe ustaadh atakua keshamchoka,anamuona mzee na atamtaliki akiwa na urithi wa vitoto na labda FISTULA huku akiwa hana elimu wala ujuzi wowote zaid ya ule wa kupika na kumkatia viuno ustaadh.

Wakati huo ustaadh keshaoa 14 yrs pussy nyingine hataki kusikia cha watoto wanaumwa wala wanahitaji daftari.

HUU NI UKATILI UPINGWE
na hizo sheria zote zimewekwa kumfaidisha mwanaume…zoooote yani zooooote. Mara wake wanne, mara mbinguni watapewa mabikra 1000 yani zote zina favor mwanaume
 
Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.

Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe
Wavaa kobazi muzeye hao.
 
Back
Top Bottom