BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Huyo mwanasheria usikute ni mwanamke, amesubiria mpaka asome kisha aje kuwarubuni wengine wakose haki ya msingi ya kupata elimu.

Huo ni ubinafsi
Atakayeolewa mipaka 14 hayupo shule mzee,wa shuleni haoleki kwa mujibu wa Sheria,je mabinti wote tz wenye miaka 14+huwa wapo shule!?..Kama hawapo hufanya nini mtaani,hawaleti watoto wa mitaani!?
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.

Chanzo: Mwananchi
Sasa si nikuruhusu wanafunzi waache shule!!!
 
Kwa hiyo waolewe? Ndio suluhisho halaf
Halafu wanazaa na kulea watoto Kama bibi zako walivyofanya,we ulitaka wafanyeje!?..wafanye umalaya mtaani wazae watoto nje ya ndoa wasio na baba muwajibikaji!?..Kisha muwasifu umalaya,wamepinda nk
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Mkuu, huyo hawasilishi maoni yake binafsi, anawasilisha maoni ya taasisi anayofanyia kazi. Yaani huo unaouita upumbavu, ujue ni maoni ya BAKWATA.
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.
Kupiga kura ya kumchagua mwenyekiti wa mtaa - uwe na miaka 18 au zaidi

Kuqnzisha familia ambayo ndiyo itaunda mtaa - uwe na miaka 14 na kuendelea😁😃
 
Tuko mwaka 2023, Bakwata wanaishi mwaka 1991.

Waozeni watoto wenu wenye miaka 14 ili wakifika miaka 18 wawe wameshaachika na wana watoto wawili, akiachika mwangalizie wa kumuoa tena akifika miaka 23 na ameongeza watoto wawili tena aachike, mumtafutie wa kumuoa tena akifika miaka 26 awe ameshaachika na ana watoto sita, hana elimu, hana kazi halafu mrudi hapa tujadili.
Huo umri ndiyo watu wakiolewa huko nyuma na ndoa zikadumu,familia ilikua taasisi ya maana
 
H
Sasa mtoto wa miak 12 bado ni mwanafunzi, hata elimu ya sekondari hajamaliza huo ulezbian anaanzia wapii
Hivi kila Binti huenda sekondari nchi hii!?
 
Atakayeolewa mipaka 14 hayupo shule mzee,wa shuleni haoleki kwa mujibu wa Sheria,je mabinti wote tz wenye miaka 14+huwa wapo shule!?..Kama hawapo hufanya nini mtaani,hawaleti watoto wa mitaani!?
Huo ni umri wa mtoto kuwa shule, haijalishi ana soma au hasomi ila kitachohukumiwa kitaangalia kigezo hicho.

Mabinti wengine wa umri huo kutokuwa shule hakuhalalishi kwa wengine nao wasiweze kupata haki ya msingi ya kuwa shule.

Na ndio maana serikali inafanya kila jitihada ikiwemo kutoa elimu bure kuwaondolea kuwarahisishia wazazi waweze kuwapeleka watoto wao shule
 
Wanaoenda shule hakuna shida,wasioenda jee!?..watiwe tu mtaani mpaka watapofika 18!?..
 
Wanaoenda shule hakuna shida,wasioenda jee!?..watiwe tu mtaani mpaka watapofika 18!?..
Mtaani mzazi ambaye ana mtoto ambaye ana umri wa kwenda shule afu mtoto anashinda tu nyumbani, serikali kupitia ma afisa elimu waliunda operation kabambe ya kamata kamata waliwatia jela hao wazazi wakanyea makasha siku kadhaa kisha waliporudi makwao walikuta watoto wako shule.

Pengine mtaani kwako viongozi wa juu kama afisa elimu ni masheikh wanounga mkono itikadi kama hizo na ndio maana mambo kama hayo yanaendelea
 
Back
Top Bottom