Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ili tu mwanaume afurahieWamesema hata 10 yrs old akivunja ungo aolewe tu. Hizi dini hizi
Halaf mtoto wa kike akandamizwe hapo sikubali hata aje nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili tu mwanaume afurahieWamesema hata 10 yrs old akivunja ungo aolewe tu. Hizi dini hizi
Wanaume wenyewe hakuna, mmoja katika ishirini. Akitokea ndiye yeye huyo. Mnataka kuwafuga watoto wa kike wawe Lesbians? Tena iwekwe sheria, aolewe na aendelee kusoma.Akili kisoda
Aolewe tu, kuliko sasa mnawabakabaka hovyo, wakiume na wa kike.Wamesema hata 10 yrs old akivunja ungo aolewe tu. Hizi dini hizi
Tema mate chini..Halafu mtoto wa darasa la 6 kuwa mapepe ni makosa ya mzazi. Malezi mabovu
Wanaharakati wakilivalia njuga hili kitanuka“Sisi Waislamu tunaamini mtoto wa kike akishavunja ungo anaruhusiwa kuolewa, nami naruhusiwa kuoa haijalishi nina miaka 10, 12 au 13,” ameeleza Fatihu.
Ameongeza kuwa sheria ya mtoto inaeleza kuwa mtu yeyote aliye chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba sheria ya ndoa imeruhusu mtoto kuanzia umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mahakama ambapo itaangalia vitu vingi ili kuruhusu ndoa hiyo ikiwa ni pamoja na afya ya mtoto, mila na tamaduni za jamii husika.
BAKWATA wamewasilisha ujumbe huu walioagizwa na Waislam wa Tanzania Bara na Visiwani.Bakwata waache uhuni
Well, you nailed it brother!Utakuta mtu msomi kama Prof Assad na yeye anaunga mkono huu upuuzi, ila yeye mabinti zake, mpaka wa umri wa miaka 30 wapo nyumbani au wanajitegemea na mzazi Wala hawakazimishi kuolewa, anawapa msaada wajikuze kielimu na kifedha.
Hizi sheria za bakwata ni kwa mabinti wa familia choka mbaya tu,Ili kuvipiga pipe vibinti vyao,visivyo na akili, vinawekwa ndani, kazi yao ni kuoga, kupika, kujiremba na kutembezewa rungu tu! na akikutana na Basha kama mie, mpaka msambwanda unaliwa
Miaka 14 vinafanya ngono zamani sana.Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.
Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe
Lakini wakati huo unakataa kumuozesha kwa kuofia kumkatiri yeye ameshakuwa danga wa lijamaa lenye umri kama ww haaaaa dunia hii ni changamoto.Miaka 14 bado ni mtoto anayehitaji uangalizi wa wazazi, kumfanya awe mke ni ukatili dhidi ya watoto.
Ni wapi pamesemwa kwamba waendelee kungonoka? Such a mere reasoning to justify child marriage.Miaka 14 vinafanya ngono zamani sana.
kwa hiyo viendelee kungonoka ila kuolewa ndio Nyeti!
Nimekuuliza ikiwa wote huenda sekondari!?..Kama laa Hawa wanaobaki waolewe wakiwa na umri gani na Kwa nini!?..acha kuandika Kama unapungwa shetaniKwani mnaangalia kama kaenda seckondari au la..!!??? Nyie kigezo ni umri. Yaani mnaweza hata kumuachisha shule kisa akaolewe..!!
Huyo mwanasheria usikute ni mwanamke, amesubiria mpaka asome kisha aje kuwarubuni wengine wakose haki ya msingi ya kupata elimu.Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.
Aisee...inasikitisha sana.
Siyo mwamba hawapo,wapo na hawaendi kujifunza stadi za maisha Kama ufundi kwa kuwa Kuna gharama zake na hawawezi zimudu,huyu akitokea mtu anataka kumuoa akatazww na Sheria!?..kusubiri apate uzoefu wa kumuhudumua mwanaume kwanza au!?Kama haendelei na sekondari si aende kujifunza stadi za maisha kama kushona nguo n.k?
Kwa nini mnatetea ujinga nyie watu?
Yaani mnataka watoto waolewe????
Kuna badhi ya vitu ndani ya Quran na Biblia havipaswi kufatwa.Quran na sunna zikishasema ni zimesema